Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
Green pasture
 
Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)

Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??

Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???

Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
Sema ata Tanzania ya huyo mama yako
 
Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)

Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??

Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???

Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
Umefika korea kaskazini mwaka gani?
 
Umefika korea kaskazini mwaka gani?
Nimetoka Korea Kaskazini mwezi 3

Nyie watoto mnajidanganya sana

Unajua thaman ya kutengeneza Mabomu ya ICBM??

Nchi kibao za Ulaya hawana hiyo pesa zaidi wamekua omba omba kwa marekani

Korea ni sehemu nzuri sana
 
Kwahiyo huko Dodoma mmekubaliana Putin kakwama vita na Ukrane.?

Haina haja hata ya kukuelewesha putin hapigani na Ukrane bali dunia nzima(kasoro China NK nna South A.., na bado yuko vitani na kateka maeneo anayashikilia..

Kuendelea kumpa Mzanzibari Urais wa Tanganyika ni sawa na kumfanya Zelensicky Kuwa Rais wa Urusi .

Atauza mali zote za Urusi kwa Nchi za Magharibi
 
Mimi nikikua kijana mdogo nakumbuka kwenye passport ya Tanzania ulikuwa hurusiwe kwenda nchi tatu ikiwemo Korea ya Kusini.Lakini Korea kaskazini ya Kim aka Kiduku tulikuwa na ubalozi.Hata pale Lumumba karibu na Tanzania Region jumbo la maaskari waliopigana vita pili na makao ya vijana wa CCM kulikuwa na jumbo la utamaduni wa North Korea.Nadhani tuna ubalozi kwao na wao kwetu.Hata vita vya Kagera mchango wao huwezi kuupuzia.Maswali ya Korea ya Kiduku na Tanzania mtu sahihi wa kumuuliza ni Jenerali Ulimwengu aliwahi kutuwakilisha nchi yetu kiserikali na kukutana na babu wa kiduku Kim,Mungu mtu.
Maneno meeeengi. Ubalozi wa korea kaskazini uko mtaa gani bongo?
 
Wewe unachekesha sana,nakuacha uwendelee na majibu mngando.
Kenya anadaiwa madeni hadi kwenye makalio,haikopesheki.
Umaskini ni mkubwa watu wanaishi kwenye cardboard shanties.
Mwingereza ndie alijenga Kenya sio hawa unawasifia hawa ni looters,wakidhani wanamwimbia mkoloni.
Kwa miaka 20 mfulilizo ni Tanzania na Uganda inawalisha chakula,ingawa wao wana ardhi lakini watu wachache wamehodhi ardhi lakini hawaitumii kikamilifu.
Hata siasa yenyewe ni kitendawili.
Mkuu tuliwalisha bure???

Si walikuwa wananunua kwa fedha yao??

Maana yake wana fedha ya kununua chakula kutoka nje kwa miaka 20, hapo nani masikini???

Mkuu kudaiwa ni kawaida hata Marekani na Uingereza wanadaiwa, sio hoja!

Kumbuka pamoja na kudaiwa, kwenye bajeti yao wanajitegemea kwa asilimia 100% tofauti na sisi tunaojitegemea kwa asilimia 60%!

Hivi wimbo wetu wa uchumi wa kati uliishia wapi??

Mkuu toa majibu ya ni nani anyefanya utekaji, maana inaonekana unafahamu!
 
Hao marafiki zako ungejua hawapendi maendeleo ya Tanzania usigeandika haya.karibu Kenya ujionee hawa mbwa koko.
 
Hao marafiki zako ungejua hawapendi maendeleo ya Tanzania usigeandika haya.karibu Kenya ujionee hawa mbwa koko.
Mkuu mimi sina ugomvi na mtu awe Mganda, Mnyarwanda , Mkenya au Msomali. Nimekuwekea substantiable facts, kama sio kweli pinga kwa kuweka unazoona ni za kweli??? Usiruke maada sblandes!
 
Back
Top Bottom