Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

Tumeanza?

Hao ni rafiki zetu tangu enzi za Nyerere.

Tuli yokuwa wadogo Upanga miaka ya 1980s kuna watoto chipukizi wa CCM walienda North Korea kwenye halaiki.

Tulikuwa tunakwenda pale karibu na jengo la Umoja wa Vijana kulikuwa kuna Korean Cultural Center watu walifanya concerts sana, walijifunza muziki pale.

Ukusoma kitabu cha Mwinyi anaelezea jinsi alivyofanya mradi mubwa wa mashamba ya mpunga na Wakorea.

Hatujaanza leo, hawa ni marafiki wa CCM tangu enzi za Kim Il Sung, Babu yake King Jong Un, na Nyerere.
Mwalimu alituunganisha na marafiki wa ajabu ajabu sana na mfumo wake wa ujamaa.
 
Korea ya Kim ni rafiki wa Tanzania tokea ukombozi wa yaliyokuwa makoloni nchi za Africa enzi za Mwl.Nyerere.
Kama mbabe Putin kakwama vita vya Ukraine kamkimbilia kiduku amsaidie,iweje nongwa kama Tanzania itaomba msaada wa kijeshi.
Mkuu msaada wa kijeshi Tanzania kupigana na nani???
 
Hiii ndio Korea mnadanganywa wanakufa njaa!!!!
View attachment 3351550
Unashangaa hivyo, nchi yoyote duniani inaweza kuwa na sehemu, mji mmoja kama huo. Unajua hata Internet ni shida pale, umeme unakatika hovyo.

Unajua Tanzania imewapita North Korea mbali sana kwenye GDP, Per Capita. Uchumi karibu wote wa NK ni command economy, unamilikiwa na serikali, sekta binafsi unazitafuta kwa tochi.

Hats kufungua genge la nyanyq, kuuza kahawa, karanga mtaani ni shida unahitaji vibali vya serikali.
 
Kilichofanywa na CCM ni kupeleka ujumbe mzito Duniani, kuwa Tanzania ni nchi ya kidikteta ambayo mshikamano na mwelekeo wake ni kuimarisha mahusiano na nchi za kidikteta.
 
Nasikia kuna nchi moja ya ulaya waliwapa wakorea mkopo wa magari kibao.

Ile muda wa kulipa deni ulipofika, jamaa wakituma email kiduku anakaa kimya hajibu
Ni baba ake na kiduku. Baadaye walilipa deni lote lkn as part of reminder Volvo walikuwa wanatuma gari moja kila mwaka kuwakumbusha kuwa wanadaiwa
 
Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)

Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??

Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???

Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
Na Wakorea(wa Korea kaskazini) kila siku wanahaha namna ya kutoka nchini mwao, wapo wanaohatarisha maisha trying hard kuingia Korea ya kusini, hata wanaofanikiwaga kufika China inakuwa hawataki tena kurudi kwao sasa wakibahatika kufika Japan au European countries au North America kwao ndiyo inakuwa bye bye jumlajumla kisa ni hardship ya maisha kwao na oppressions. Kuna maeneo wako advanced kama upande wa silaha, mafunzo ya kijeshi na kwa baadhi ya maeneo infrastructure lakini standard ya maisha in general wanausugua sana yaani typically ni third world.
 
Tafuta Uzi wangu was "uchaguzi wa 2025 ni vita vya kijasusi kati ya mashirika ya america,ulaya,Israel dhidi ya waarabu,urusi na wachina"labda utaambulia kitu!!

Pitia click all threads by Resilient kato!
 
Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
HomeHabari
HabariKimataifaKitaifa
Baada ya Kushutumiwa na UN, Tanzania Yaikana Korea Kaskazini
Last updated Sep 16, 2017
Share

Rais John Magufuli.
SERIKALI ya Tanzania imesema imeshtushwa baada ya kuorodheshwa miongoni mwa nchi za Bara la Afrika ambazo zimechunguzwa na Umoja wa Mataifa na kuhusishwa kuwa na uhusiano wa kibiashara na Korea Kaskazini inayoongozwa na Rais Kim Jong Yung.

Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, jana Ijumaa, Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Augustine Mahiga, alisema licha ya uhusiano uliokuwepo awali, lakini tangu mwaka 2014, Tanzania imepunguza kabisa uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na nchi hiyo.

“Tulipopata taarifa kuwa kuna meli za Korea Kaskazini bado zinapeperusha bendelea ya Tanzania, tulizifutia usajili na bendera hizo zikashushwa, hata UN tuliwataarifu.


Waziri wa Mambo ya Nje Dkt. Augustine Mahiga.
“Hatuna ugomvi na Korea Kaskazini, lakini kitendo chao cha kutengeneza silaha za kuangamiza si kizuri kwa heshima na usalama duniani. Ndiyo maana tukaanza kuchukua hizo hatua za kupunguza mahusiano hayo,” amesema Dr Mahiga.

Mahiga aliongeza kuwa, uhusiano huo wa kibiashara ulikuwepo kabla ya vikwazo vilivyowekwa hivi karibuni na Baraza la Umoja wa Mataifa.

Waziri huyo amesema anaelekea katika mkutano wa kawaida wa Umoja wa Mataifa, ambapo atatumia fursa hiyo kujibu tuhuma hizo kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.


Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Yung.
Nchi nyingine za Afrika ambazo zinazochunguzwa na Umoja wa Matiafa kwa tuhuma za kwenda kinyume na vikwazo vilivyowekwa na Baraza la Usalama la Umoja huo dhidi ya Korea Kaskazini ni Angola, Congo, Eritrea, Mozambique, Namibia, Uganda na Syria.

Ripoti ya uchunguzi huo ilitolewa Septemba 9, 2017. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema linachunguza tuhuma za Tanzania kuingia mikataba ya kijeshi na Korea Kaskazini inayogharimu dola za Marekani milioni 12.5.
 
Tumeanza?

Hao ni rafiki zetu tangu enzi za Nyerere.

Tuli yokuwa wadogo Upanga miaka ya 1980s kuna watoto chipukizi wa CCM walienda North Korea kwenye halaiki.

Tulikuwa tunakwenda pale karibu na jengo la Umoja wa Vijana kulikuwa kuna Korean Cultural Center watu walifanya concerts sana, walijifunza muziki pale.

Ukusoma kitabu cha Mwinyi anaelezea jinsi alivyofanya mradi mubwa wa mashamba ya mpunga na Wakorea.

Hatujaanza leo, hawa ni marafiki wa CCM tangu enzi za Kim Il Sung, Babu yake King Jong Un, na Nyerere.
Screenshot_20250531_083834_Chrome.jpg
 
Kim thai hai???? You sure? Hakuna rais wa N. Korea mwenye jina kama hilo.
Uhusiano kati ya N.korea na Tanzania ulianzishwa na Kim il Sung na JK Nyerere.
please, be informed accordingly.
Hakuna sehemu nimemtaja KIM THAI HAI kama rais, bali huyu ali "led to goodwill mission in 1965" ambayo ilipelekea uhusiano kati ya koreas kaskazini na tanzania
 
Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
Na sisi tunataka kuwa kama North Korea; tuwe pariah state.
CCM ni sikio la kufa hawajifunzi kwa makosa ya nyuma. Sijui nani kawaloga hawa watu
 
Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??

Siyo Tanzania ni CCM ndiyo iliyomualika. Pia alikuwepo muaklishi wa Putin na China.

Mabalozi wa Ujerumani, USA, Ubelgiji wakihudhulia mikutano ya Chadema, CCM wanaona Gere.
 
Let them keep watching..
Among of Tanzania's long stance policy on international relations is a "non alignment movement" policy..
Refer to UN resolution on ukrain/russia war and other previous UN resolutions .
Sio tu stance...bali Tanzania ilishirikia kuandaa hiyo status ndani ya UN
 
Mwalimu alituunganisha na marafiki wa ajabu ajabu sana na mfumo wake wa ujamaa.
angekuunganisha na wakoloni ?
pengine hata usingezaliwa baada ya mzazi wako kuwa *****
 
Ukienda Beijing kuchukua visa kwenye Ubalozi wao ya kwenda Korea Kaskazin kwa Mtanzania unapewa siku hiyo hiyo niliwahi kubisha nilipopeleka mkwaju wakaniambia nifate kesho ilikua miaka ya 2012 nadhani nilipata Visa ingawaje sikwenda kwa Kim maana jamaa hawaeleweki wale wasije wakasema umetumwa na USA kuwapeleleza...
 
Back
Top Bottom