Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Huwa sizini mkuu. Yatanikutaje sasa?ngoja yakukute
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa sizini mkuu. Yatanikutaje sasa?ngoja yakukute
kweli kabisa Mkuu,nami naamini ni ushirikina huo!!!Ushirikina huo!!!
Wanaiheria wanayo mbaya zaidi... Kuna kabila ukilala na mke wa mtu unakufa!!! Wakeza watu wanaogopwa kama ukoma... Wengine mke wa mtu ukilala na mwanaume mwingine unapata kichaa
Hahaahaa... TY mambo..Habari?
Hivi kitendo hiki cha watu kulana mpaka kunatiana linasababishwa na nini? Maana huku kwetu tumezoea kuona mbwa zikikabiriana na janga hilo, sasa hii ya partners people kunatiana sijui inakaaje wapendwa.
Nadhani nanyi si wageni na mambo haya kuyasikia, tena cha kushangaza huwatokea sana cheaters katika gest mbalimbali, mke mtu au mume mtu, yaan wanakuwa full kidogodogo.
Nini tatizo?
Haya mambo noma sana.....Mi sijui,naona una rahaaa
Ni kweli. Mi nina hata video ya jamaa Kenya ambao polisis ilibidi waingilie kati na kushindwa. Mpaka aliitwa na mchungaji. Ila waliweza kutoka baada ya ridhaa ya mume wa mke kwa ahadi ya pesa.Duu! mkuu,kwenye zama hizi ambazo video zinasambaa kabisa kuonyesha wanawake na wanaume wananatana bado huamini katika kunatana,labda useme hujui sababu lakini siyokusema haijawahitokea,labda kama umekuja sasa hivi duniani.
DuuhHabari?