Hivi tatizo la 'kunatana' wakati wa kufanya mapenzi linasababishwa na nini?

Hayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Oo kumbe!!! Ombea yasikukute
 
Iko hivi, katika ulimwengu wa tamaduni za asili kuna dawa na kizimba. Huwezi unda dawa bila kizimba. Tunachukua mbwa walionatana na kuwaua bila kuachana then tunakata viungo vyao vilivyoshikana na kuvikausha.

Tunachanganya na dawa ingine pamoja kisha tunanuiza kuipa dawa nguvu.

Hapo tunachukua kisu cha ala cha kuchomeka tunaweka dawa ndani............ ..

Basi bwana kwa ufupi mwanamke hushiriki kujiloga maana kuna hatua lazima mwanamke mtegwaji amalizie.

Karibu sumbawanga hatuonei mtu ni haki kwa haki. Ukikosea omba msamaha yaishe ukijidai mjuaji kama watu wa chama kile tunakunyoosha.
 
inaitwa "TEGO" ni Njia mojawapo ya kumkamta mwenzi wako hasa kama anatochepuka.inahusiana na madawa ya waganga.ona huu mfano
mume:mke wangu naona mabadiliko siku hizi..unatoka nje ya ndoa..unanisaliti
mke;hapana mme wangu siwezi kufanya hivo hata siku moja
mume:kila nkipita mtaani pia naskia tetesi unatoka na bodaboda mmoja hapa mtaani..
mke;sio kweli mme wangu..wananisingizia mimi
mume:sawa

kesho mume kaenda kwa mganga mwafulan na kumweleza shida yake..mganga akafanya yake.mume akaenda dukani kununua kisu kipya kikiwa mdani ya ala yake(ile sehemu inayofunika kisu kwa mbele)
akapewa maelezo..njiani kurudi nyumbani akapitia buchanibkanunua nyama kama kilo nzima.kufika nyumbani kamkuta mke wake.mume akaiweka nyama juu ya meza akampa kile kisu kipya mke wake akamwambia chukua hilo pande kubwa la nyama likate kwa hiki kisu.mke akakata
fhen mume akachukua kile kisu vilevile baada ya kukatia nyama akakiingiza kwenye ala akaondoka nacho chumbani mke akaambiwa we endelea kupika
mume kufika chumbani akaficha kisu anapopajua mwenyewe.mke nae alishahis kastukiwa usaliti wake akamtell mchepuko tutulie kidogo had asahau.
baada ya kama mwezi mke akapata upenyo akamtafuta mchepuko wake..kammiss..kila mmoja kammis mwenzie[emoji23] [emoji23]
basi bwana wakapanga gesti za uswaaziii kule vichochoroni ili isiwe rahisi kufumaniwa
kufika kule mda si mda wakaanza mambo...kidogo tu jamaa bodaboda anashaangaa nje haitoki...ajikaze vipi..avute vipi haitok[emoji85] [emoji85]
mke nae akafanya juhudi wee haitoki..sasa si unajua kile kifo cha mende...wakaanza kupiga kelele kumwita muhudumu...wahudumu wakajasijui mara wakaita wazee jirani...huku nje sijui ghafla habari ziksambaaje watu kibao hadi mlango wa gesti..vichochoro vyote vimejaa hamna njia...si unajua uswaz tena..mpaka paparaz wa shingongo wakafika full mapicha..ilikua aibu ya mwaka..
wakaambiwa nyinyi mmenasiana..bodaboda akasema mi nko singo sina mtu..bibie akasema nimeolewa..akaambiwa basi atakuwa mme wako mpigie simu aje..akagoma!
akaambiwa kama hutaki hamtaachiana nq huyu jamaa mtabaki hivihivi.
akautwa mganga kutoka hapo uswaz nae akasema siwez..mwenye kuwanasua ni mume wa huyu dada..aliyeseti tego yeye ndo anajua kulinasuaje
dada akakubai kwa hiyari kutoa namba ya mme wake wakamuita.
mume kufika akamwambia "mkw wangu nlikwambia unanisaliti wewe ukakataa..umeona ???
walimwengu wakaanza kumbembeleza mume..mnasue mkeo..tangu asubuh mpk hii jion tunahangaika tu.msamehe.mume akatoa kile kisu na alipikichomoa tu toka kwenye ala na huku mke na mgoni kinu na mtwangio vikaachiana [emoji23] [emoji23]
hili ndo tego.
ngoja niishie hapa ntaonekana mwagq bure.

Wanakataa, mimi nawaambia haya yapo
 
Hakuna jambo kama hilo,hizo ni story tu
Kunatana kupobila ni kitu cha kawaida sababu ute te unakuwa umekauka! Siku mlainishe shemeji kisha ukiwa ndani hakikisha unasugua mpaka ute mweupe anatoa kisha usichomoe mashine ila potezea mpaka apoteze stimu huku wewe uko ndani, ule ute weupe utageuga "gundi".
 
Hiyo hali inaitwa Penis Captivus.

Inatokea kwa nadra sana. Wakati wa sex misuli ya uke inajibana hali inayosababisha uume kushindwa kutoka.

Misuli ya uke ikitulia mwanaume ataweza kutoka.

Only feed your brain with informations from genuine sources. Don't allow yourself being mislead by informations which have no scientific sources.
Umeona eeh, haya mambo yapo mkuu
 
Duu! mkuu,kwenye zama hizi ambazo video zinasambaa kabisa kuonyesha wanawake na wanaume wananatana bado huamini katika kunatana,labda useme hujui sababu lakini siyokusema haijawahitokea,labda kama umekuja sasa hivi duniani.
Ha ha haaaaa! Mwenyewe sijamuelewa kabisa aisee
 
Hilo kufuli noma sana a,k,a viro,

Hii ni njia nzuri sana kutokomeza baadhi ya magonjwa yanayosababishwa na watu kujamiiana hovyo (ukimwi) na wapenzi wengi wengi, pia inafanya watu waheshimu ndoa zao, tukiona inafaa basi tuipitishe kisheria watu wakioana tu wanawekeana hayo ma tego , hakuna kutoka nje ya ndoa, hata ukimwi utapungua kwakweli,

Africa tuna science nzuri sana kijamii , kiuchumi na kisiasa, sema tu ndio hivyo u magharibi umetuzidi sana
Kabisa yaani
 
Ni masimulizi ambayo mara nyingi huwa yamepangwa ili mganga fulani awe mashuhuri zaidi. Ni sawa na Gwajima anapokwenda vijijini huko na kununua "misukule" au "maiti" za kuja kufufua mbele ya misukule yake Tanganyika Parkers Kawe. Kuna kipindi cha Kenya kilichofunua ujanja huu. Usiamini kila kitu mkuu hasa nyakati hizi!
Ngoja yakukute
 
Back
Top Bottom