LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,436
- 3,723
Ulishawahi kutest kibamia chako nini maana inaonekana una uzoefu na hilo!Wenye vibamia msihofu tego haliwahusu, kibamia hakinasi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawahi kutest kibamia chako nini maana inaonekana una uzoefu na hilo!Wenye vibamia msihofu tego haliwahusu, kibamia hakinasi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Ombea isikutokee maishani mwako maana utaishiwa nguvu na hizo science zako. Hivi unadhani wote humu hatujui science eeh! Ni utoto tu ukikua utaacha.Hiki ndicho najua tangu zamani nilitarajia jibu la kwanza liwe hili badala yake ni vituko tu na kuleta stori za vijiweni.
In fact huu uzi ilibidi uende jukwaa la jf doctor.
Wewe utakuwa mchawi maana wachawi ndiyo hawataki kusikia stori za kichawi au kishirikina wanajifanya innocent kwenye jamii kumbe bure kabisa hadi mbinguni wameshachokwaUpuuzi utaendelea tu mpaka watu watakapo funguliwa kwenye minyororo na kuamua kuuacha huo upuuzi.
Haya mambo ya kuamini ushirikina/uchawi yanaanzia nyumbani ulipokulia. Kama wazazi walipendelea kusimulia watoto mambo ya ushirikina basi probability watoto nao watakuwa hivyohivyo.
Kujitoa kwenye hayo mafundisho inaanza na mtu binafsi kupenda kujua kweli. Kuuliza maswali yanayopatana na akili na kuwa mdadisi.
Poleni sana mnaoamini mambo haya ya kipuuzi kabisa. Kamwe huwezi kuwa HURU kama umefungwa na mafundisho potofu.
You have eyes but you don't see. You have brain but you don't optimize it to it's fullest potential
We dada una science gani zaidi za akina newton n.k?Mimi siyo kichaa.....so please don't call me names.
Nani amekwambia science ni ya wazungu pekee?
Sasa ukianza kuandika viroja tunaweza kufanya discussion ya hii mada?
Go and educate yourself old man.
Habari?
Hivi kitendo hiki cha watu kulana mpaka kunatiana linasababishwa na nini? Maana huku kwetu tumezoea kuona mbwa zikikabiriana na janga hilo, sasa hii ya partners people kunatiana sijui inakaaje wapendwa.
Nadhani nanyi si wageni na mambo haya kuyasikia, tena cha kushangaza huwatokea sana cheaters katika gest mbalimbali, mke mtu au mume mtu, yaan wanakuwa full kidogodogo.
Nini tatizo?
NI UTAALAM NDO UNAOTUMIKA MKUU!! WELLCOME AT SUMBAWANGA FOR MORE COURSEHabari?
Hivi kitendo hiki cha watu kulana mpaka kunatiana linasababishwa na nini? Maana huku kwetu tumezoea kuona mbwa zikikabiriana na janga hilo, sasa hii ya partners people kunatiana sijui inakaaje wapendwa.
Nadhani nanyi si wageni na mambo haya kuyasikia, tena cha kushangaza huwatokea sana cheaters katika gest mbalimbali, mke mtu au mume mtu, yaan wanakuwa full kidogodogo.
Nini tatizo?
Kuna mchepukaji mmoja waliwahi natana mpaka wakapelekwa polisi na kuchunguzwa kwenye hospitali ya Mbeya.Ni simulizi tu, wala hakuna ukweli juu ya hilo.
Story nzuri kidogo na wazi ni "fictitious" ingawa inafundisha,pia jifunze kuaandika kwa utulivu na ufasaha,makosa yakiwa mengi kwa story ndefu inaboa.inaitwa "TEGO" ni Njia mojawapo ya kumkamta mwenzi wako hasa kama anatochepuka.inahusiana na madawa ya waganga.ona huu mfano
mume:mke wangu naona mabadiliko siku hizi..unatoka nje ya ndoa..unanisaliti
mke;hapana mme wangu siwezi kufanya hivo hata siku moja
mume:kila nkipita mtaani pia naskia tetesi unatoka na bodaboda mmoja hapa mtaani..
mke;sio kweli mme wangu..wananisingizia mimi
mume:sawa
kesho mume kaenda kwa mganga mwafulan na kumweleza shida yake..mganga akafanya yake.mume akaenda dukani kununua kisu kipya kikiwa mdani ya ala yake(ile sehemu inayofunika kisu kwa mbele)
akapewa maelezo..njiani kurudi nyumbani akapitia buchanibkanunua nyama kama kilo nzima.kufika nyumbani kamkuta mke wake.mume akaiweka nyama juu ya meza akampa kile kisu kipya mke wake akamwambia chukua hilo pande kubwa la nyama likate kwa hiki kisu.mke akakata
fhen mume akachukua kile kisu vilevile baada ya kukatia nyama akakiingiza kwenye ala akaondoka nacho chumbani mke akaambiwa we endelea kupika
mume kufika chumbani akaficha kisu anapopajua mwenyewe.mke nae alishahis kastukiwa usaliti wake akamtell mchepuko tutulie kidogo had asahau.
baada ya kama mwezi mke akapata upenyo akamtafuta mchepuko wake..kammiss..kila mmoja kammis mwenzie[emoji23] [emoji23]
basi bwana wakapanga gesti za uswaaziii kule vichochoroni ili isiwe rahisi kufumaniwa
kufika kule mda si mda wakaanza mambo...kidogo tu jamaa bodaboda anashaangaa nje haitoki...ajikaze vipi..avute vipi haitok[emoji85] [emoji85]
mke nae akafanya juhudi wee haitoki..sasa si unajua kile kifo cha mende...wakaanza kupiga kelele kumwita muhudumu...wahudumu wakajasijui mara wakaita wazee jirani...huku nje sijui ghafla habari ziksambaaje watu kibao hadi mlango wa gesti..vichochoro vyote vimejaa hamna njia...si unajua uswaz tena..mpaka paparaz wa shingongo wakafika full mapicha..ilikua aibu ya mwaka..
wakaambiwa nyinyi mmenasiana..bodaboda akasema mi nko singo sina mtu..bibie akasema nimeolewa..akaambiwa basi atakuwa mme wako mpigie simu aje..akagoma!
akaambiwa kama hutaki hamtaachiana nq huyu jamaa mtabaki hivihivi.
akautwa mganga kutoka hapo uswaz nae akasema siwez..mwenye kuwanasua ni mume wa huyu dada..aliyeseti tego yeye ndo anajua kulinasuaje
dada akakubai kwa hiyari kutoa namba ya mme wake wakamuita.
mume kufika akamwambia "mkw wangu nlikwambia unanisaliti wewe ukakataa..umeona ???
walimwengu wakaanza kumbembeleza mume..mnasue mkeo..tangu asubuh mpk hii jion tunahangaika tu.msamehe.mume akatoa kile kisu na alipikichomoa tu toka kwenye ala na huku mke na mgoni kinu na mtwangio vikaachiana [emoji23] [emoji23]
hili ndo tego.
ngoja niishie hapa ntaonekana mwagq bure.
Okay, nimeona matukio haya sehemu kama mbili huku ghana MbeyaMimi nahisi labda kuna ushirikina unahusika! Ila kwq hali ya kawaida haiwezekani jombaaaaa!
Ila zamani wazazi walitumia kama mbinu ya kuwaogopesha watoto wasishiriki ngono mapema!
Ukiwaza kutongoza tu linakuja wazo la kunatana basi unaogopa kweli......
Au walikuwa wanasema papuchi za aliyekuzidi umri huwa zinaunguza gegedo