kideko
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 296
- 217
Babu zetu walikua wanafanya hivi kwa ajili ya kulenda ndoa zao zadi ya michepuko hii ni science ya Africa. Sasa wewe unabaki unamtukuza Mzungu kisa yeye kaandika vitabu. Huo ndio uchizi wenyewe eti kisa umesoma kitabu kilicho andikwa na Mzungu unasema wewe umeendelea, TUKUZA KILICHO CHAKOMimi siyo kichaa.....so please don't call me names.
Nani amekwambia science ni ya wazungu pekee?
Sasa ukianza kuandika viroja tunaweza kufanya discussion ya hii mada?
Go and educate yourself old man.