Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
Mbona hata nguva anaonekana kwenye video nyingi tu, lakini hakuna binadamu hata mmoja aliyewahi kumuona kwa macho, hata hizo video za watu kunatana ni za kutengeneza, hakuna mtu kashuhudia tukio hilo. Video zinatengenezwa tu.Duu! mkuu,kwenye zama hizi ambazo video zinasambaa kabisa kuonyesha wanawake na wanaume wananatana bado huamini katika kunatana,labda useme hujui sababu lakini siyokusema haijawahitokea,labda kama umekuja sasa hivi duniani.