py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Hayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Hata mondray nae yumouko Rukwa?
any way ngoja tumuulize Mshana jr au Mzizimkavu ni "wataalamu"
Tego banaaHiyo hali inaitwa Penis Captivus.
Inatokea kwa nadra sana. Wakati wa sex misuli ya uke inajibana hali inayosababisha uume kushindwa kutoka.
Misuli ya uke ikitulia mwanaume ataweza kutoka.
Only feed your brain with informations from genuine sources. Don't allow yourself being mislead by informations which have no scientific sources.
Hamka shaka kama huko kwenu mmeamua "kuamini" hivyo.Tego banaa
Simulizi!Ni simulizi tu, wala hakuna ukweli juu ya hilo.
Kama kitu hukijui bora unyamaze tuHayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Eeh!inaitwa "TEGO" ni Njia mojawapo ya kumkamta mwenzi wako hasa kama anatochepuka.inahusiana na madawa ya waganga.ona huu mfano
mume:mke wangu naona mabadiliko siku hizi..unatoka nje ya ndoa..unanisaliti
mke;hapana mme wangu siwezi kufanya hivo hata siku moja
mume:kila nkipita mtaani pia naskia tetesi unatoka na bodaboda mmoja hapa mtaani..
mke;sio kweli mme wangu..wananisingizia mimi
mume:sawa
kesho mume kaenda kwa mganga mwafulan na kumweleza shida yake..mganga akafanya yake.mume akaenda dukani kununua kisu kipya kikiwa mdani ya ala yake(ile sehemu inayofunika kisu kwa mbele)
akapewa maelezo..njiani kurudi nyumbani akapitia buchanibkanunua nyama kama kilo nzima.kufika nyumbani kamkuta mke wake.mume akaiweka nyama juu ya meza akampa kile kisu kipya mke wake akamwambia chukua hilo pande kubwa la nyama likate kwa hiki kisu.mke akakata
fhen mume akachukua kile kisu vilevile baada ya kukatia nyama akakiingiza kwenye ala akaondoka nacho chumbani mke akaambiwa we endelea kupika
mume kufika chumbani akaficha kisu anapopajua mwenyewe.mke nae alishahis kastukiwa usaliti wake akamtell mchepuko tutulie kidogo had asahau.
baada ya kama mwezi mke akapata upenyo akamtafuta mchepuko wake..kammiss..kila mmoja kammis mwenzie[emoji23] [emoji23]
basi bwana wakapanga gesti za uswaaziii kule vichochoroni ili isiwe rahisi kufumaniwa
kufika kule mda si mda wakaanza mambo...kidogo tu jamaa bodaboda anashaangaa nje haitoki...ajikaze vipi..avute vipi haitok[emoji85] [emoji85]
mke nae akafanya juhudi wee haitoki..sasa si unajua kile kifo cha mende...wakaanza kupiga kelele kumwita muhudumu...wahudumu wakajasijui mara wakaita wazee jirani...huku nje sijui ghafla habari ziksambaaje watu kibao hadi mlango wa gesti..vichochoro vyote vimejaa hamna njia...si unajua uswaz tena..mpaka paparaz wa shingongo wakafika full mapicha..ilikua aibu ya mwaka..
wakaambiwa nyinyi mmenasiana..bodaboda akasema mi nko singo sina mtu..bibie akasema nimeolewa..akaambiwa basi atakuwa mme wako mpigie simu aje..akagoma!
akaambiwa kama hutaki hamtaachiana nq huyu jamaa mtabaki hivihivi.
akautwa mganga kutoka hapo uswaz nae akasema siwez..mwenye kuwanasua ni mume wa huyu dada..aliyeseti tego yeye ndo anajua kulinasuaje
dada akakubai kwa hiyari kutoa namba ya mme wake wakamuita.
mume kufika akamwambia "mkw wangu nlikwambia unanisaliti wewe ukakataa..umeona ???
walimwengu wakaanza kumbembeleza mume..mnasue mkeo..tangu asubuh mpk hii jion tunahangaika tu.msamehe.mume akatoa kile kisu na alipikichomoa tu toka kwenye ala na huku mke na mgoni kinu na mtwangio vikaachiana [emoji23] [emoji23]
hili ndo tego.
ngoja niishie hapa ntaonekana mwagq bure.
Duu! Mkuu, kwenye zama hizi ambazo video zinasambaa kabisa kuonyesha wanawake na wanaume wananatana bado huamini katika kunatana, labda useme hujui sababu lakini siyokusema haijawahitokea, labda kama umekuja sasa hivi duniani.Hayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Kama hujaona ni wewe, watu tumeona kwa macho haya ya nyamaNi simulizi tu, wala hakuna ukweli juu ya hilo.
Tumeshuhudia kwa machoHayo ni maneno tu yanasemwa, hakuna kitu kama hicho na wala hakuna mtu aliyewahi kushuhudia tukio hilo. Ni kama ile stori ya samaki mtu (Nguva) hakuna huyu samaki Duniani.
Wapi?tumeshuhudia kwa macho
Hiyo hali inaitwa Penis Captivus.
Inatokea kwa nadra sana. Wakati wa sex misuli ya uke inajibana hali inayosababisha uume kushindwa kutoka.
Misuli ya uke ikitulia mwanaume ataweza kutoka....