Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

Kuna siku nilikosea kibonya remote asee si ndo ikatokea tibisiii wani ***** nilishtuka kinyama hapo hamna channel.
 
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 Matatizo yetu ni makubwa hata akishuka malaika huenda akajiuliza aanzie wapi.
 
Kwa kweli mna bored muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
Shrek animation sio mbaya ila wamezingua kuweka muda kama huu, wangeweka movie hata zile za zamani kidogo
 
TBC ndio TV peke yenye wasomi wenye degree ma Masters. Cha ajabu ubunifu wanazidiwa na kina Mbwiga, Mpoki, Swebe, Baba Levo na Kingwendu bila kumsahau Zembwela.
 
MKUU USISAHAU HATA WATU WAZIMA NAO WALIKUWA WATOTO,KATUNI TAMU BALAA
 
Kwa kweli mna bored muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
Mimi ni MDA sifatilii tbc but kama ni kweli wamekosa direction
 
Sasa mkurugenzi eti Ryoba mweupe kichwani yule..
 
Back
Top Bottom