Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kwani huelewi chama tawala ni kipi?Habari wanJF.
Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
Ryoba ni mpumbavu sana! Tunailipia Kodi hiyo tbc lakini yeye ni kutangaza utopolo wa ccm TU! Shwaini kabisa!Habari wanJF.
Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
Ni makosa kimsingi serikali haifungamani na chama chochote wasiendekeze uchawa na kumwangusha mama na 4R zake. Mkurugenzi nenda na falsafa ya Rais. Wewe ni msomi unaielewa vizuri zaidiHabari wanJF.
Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
Tatizo la msingi ni kushindwa kutofautisha serikali na taifa.Habari wanJF.