Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

Hivi TBS wana kazi gani mpaka wasubiri bidhaa zilete madhara ndio waanze uchunguzi au ni Rushwa tu?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Inafika mahala hii nchi inakera Sana, tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji wa bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke ndio wao waanze kusema tunafuatilia.

Yanakera haya majitu na magari ya wananchi SU n STL. Haya kinywaji Cha ENERGY nacho ndio yameamka baada ya Madhara Kuna baadhi ya watu wanamuangusha Sana Mhe Rais. Mfiuuuuuuuuuuuuu. Mpaka watu wafe au wapate madhara ndio mshtuke usingizini.RUSHWAAA TU!? Mnakeraaaaaaaa Sana kazi yenu Nini Sasa??
 
Ten percent mtajijua wenyewe cha muhimu mshahara upo pale pale
Mkifa shauri yenu mkipata cancer Shauri yenu

Mkipata madhara ndiyo unajifanya kuchukua hatua
Baadae mtatulia wenyewe
 
Inafika mahala hii nchi inakera Sana tuna mamlaka zinazolipwa na kuendeshwa na fedha za walipakodi lakini kazi yake haionekani, mfano hivi karibuni kumekuwa na matukio ya uingizaji was bidhaa ya powder zenye viambata sumu zinazosababisha saratani lakini wao wapo tu, mpaka nchi zingine waamke ndio wao waanze kusema tunafuatilia. Yanakera haya majitu na magari ya wananchi SU n STL. Haya kinywaji Cha ENERGY nacho ndio yameamka baada ya Madhara Kuna baadhi ya watu wanamuangusha Sana Mhe Rais. Mfiuuuuuuuuuuuuu. Mpaka watu wafe au wapate madhara ndio mshtuke usingizini.RUSHWAAA TU!?Mnakeraaaaaaaa Sana kazi yenu Nini Sasa??
Lazima kuwa na sheria ya kunyonga ama kuua watumishi wa TBS, hawa jamaa maisha yetu yapo mikononi mwao kwani ni wao ndio wanaochunguza na kupima madawa na bidhaa zote zinazoingizwa hapa chini. Vyakula na madawa vilivyokwisha muda wake huko Ulaya kujaa hapa nchini ni kosa la hawa washenzi TBS tena kwa makusudi maana wanakula rushwa na Mama kwa kuwa ana huruma na anaupiga mwingi anawachekea tu waendelee kutuua.
 
[emoji1241]TBS[emoji22][emoji1666][emoji383][emoji3578][emoji381][emoji382][emoji3053][emoji894][emoji487][emoji2733][emoji1241][emoji603][emoji3545]
 
Back
Top Bottom