Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

Hiyo ni internet ya cable system. Very fast, very cheap.

Seems huna uelewa wa networking, hizo ni fibre optics hakuna internet haipiti kwenye hizo fibre: hizo ndo znaprovide fast internet ukiachana na izi fibre hakuna any other fast internet transfer
 
stakehigh,

Sema wewe hutumii usihitimishe kila mtu hatumii. Nimekupa mfano kuna kampuni/ofisi zinakupa salio ambalo huwezi ukajiunga na hivi vifurushi. Wewe unafikiri kila mtu anajiunga kifurushi cha 500?



Sent using Jamii Forums mobile app

kwanza maofisini hawanaga vifurushi, wao wanalipia kwa mwezi
1578738586879.png

huu ni mfano wa vodacom wanauza data kwa makampuni, limitation spidi tu ila ata ukitumia 10000GB wewe tu, cha msingi mwisho wa mwezi ulipe tu
 
Back
Top Bottom