Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

Mkuu unaelewa kweli ulichoandika? Hizo ulizoweka ni vifurushi vya Smatika. Utafiti umefanyika kwa matumizi ya data bila Kujiunga na kifurushi chochote kile.

Hebu jaribu kuweka 5,000 Airtel halafu tumia data bila kujiunga na kifurushi, then weka kipimo cha matumizi ya Data then ulete mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeomba methodologies ambazo zimetumika kutoa hitimisho la hizo tafiti.

Pili swala la data plans(vifurushi) halitolewi tu kwa Tanzania, ni almost dunia nzima muundo ndio huko hivyo.

Uuzaji wa vifurushi unatofautiana na makampuni, mfano kuna makampuni yanauza data plans kutokana na quantities(ambazo sie tunaita internet bando) na mengine huwa yanauza data plans kutokana na speed mfano ni simbanet.

Kwa nchi ambazo zimeendelea pia huuza data kwa mfumo wa vifurushi(packages) ila wenyewe plan zao huwa zipo kwa muundo wa speed. Hii hapa screenshot ya mtandao wa USA wa AT&T ikionyesha data plans zao na wanaziita majina kama mitandao ya huku kwetu tunavyoviita majina vifurushi.

1576179235394.png

Sasa mnapokuja na hoja yenu sijui ya kuweka 20,000 haimake sense kwa sababu data plans package ndio muundo unatumika kununua data karibu dunia nzima. Hizi tafiti zilizoletwa humu wala hazina reality kwa jinsi asilimia kubwa ya watz wanavyonunua data.

Na narudia kusema TZ ina unafuu kwenye bei za internet EA kuliko nchi yoyote.
 
Mkuu, tunapoongelea bei ya data usikaze fikra kwenye vifurushi vya makampuni ya simu. Sana sana angalia labda subscription rates za data kwa mwezi
Ukija kwenye fiber japo coverage si kubwa ila siku hizi bei nafuu kabisa zuku 69,000 raha 60,000 etc unapata unlimited internet bila kikomo speed 10mbps ambayo inastream full HD bila tatizo.

Na ukitaka UHD aka 4K speed za around 50mbps unapata as cheap as 120,000 kwa mwezi.
 
cha msingi watu waelewe hizo bei sio sahihi na hata mitandao ya simu haziuziwi internet kwa hio bei, logically bila uelewa mkubwa wa networking unaeza kuelewa haya mambo, na tuache mada zisizo na ukwel wowote kisa zimekaa kishabiki
 
Uhalisia wa GB katika internet hauangaliwi kwa vifurushi vya offer Bali pesa halisi tu

Nunua vocha ya buku usijiunge washa data ndio utajua habar yake

Tatizo weng upeo mdogo wa kufikiri na hiz offer zimekuja baada ya kuona Hali za kiuchumi za nchi Ni tabu na Ni marketing strategies tu ili biashara ziende na ndio maana Kila mtu ana ofa yake

Kwa wale tulionza tumia simu kitambo tunajua ulikuwa ukinunua dollar moja voda dk haichomoi na ilikuwa kidole katika kitufe Cha kukatia simu kwa woga wa pesa kuishi

Na simu ilikuwa inaonekana anasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukija kwenye fiber japo coverage si kubwa ila siku hizi bei nafuu kabisa zuku 69,000 raha 60,000 etc unapata unlimited internet bila kikomo speed 10mbps ambayo inastream full HD bila tatizo.

Na ukitaka UHD aka 4K speed za around 50mbps unapata as cheap as 120,000 kwa mwezi.
Kwenye huo upande wa fiber tupo nyuma sana hata usigusie, mkuu. Labda tumewazidi Burundi tu.
 
Kwenye huo upande wa fiber tupo nyuma sana hata usigusie, mkuu. Labda tumewazidi Burundi tu.

tupo nyuma kivp, unazijua fibre kwanza? kwan hujui ukanda huu provider mkubwa ni sisi hata rwanda wameanza kuchukua kwetu
 
tupo nyuma kivp, unazijua fibre kwanza? kwan hujui ukanda huu provider mkubwa ni sisi hata rwanda wameanza kuchukua kwetu
Shusha data ,usinipigie siasa. Toa prices za fiber za main carrriers wa nchi zote za E.A
 
Shusha data ,usinipigie siasa. Toa prices za fiber za main carrriers wa nchi zote za E.A

ivi unaelewa unachoongea? ni sawa sawa unaniambie nikupe prices za prices za packets kwa kila internet user, swali lako ni total madness bussiness haziendi ivo
 
ivi unaelewa unachoongea? ni sawa sawa unaniambie nikupe prices za prices za packets kwa kila internet user, swali lako ni total madness bussiness haziendi ivo

You can think whatever you like lakini ukweli utabaki palepale. I ain’t got time for petty arguments, No research no right to speak!.
Huna data ndo maana unaishia kutukana tu.
 
You can think whatever you like lakini ukweli utabaki palepale. I ain’t got time for petty arguments, No research no right to speak!.
Huna data ndo maana unaishia kutukana tu.

sjatukana mtu, na hujui unauliza nini, we unauliza prices za fibre optics unajua fibe zinafanya vp kazi?
 
Kwenye huo upande wa fiber tupo nyuma sana hata usigusie, mkuu. Labda tumewazidi Burundi tu.
Labda kwa coverage ila bei zipo vizuri.

Bei za zuku hizi

-10mbps kenya ksh 3999 ambayo ni kama 90,000 ya Tanzania
-10mbps uganda ni 147,900 ambayo ni kama 98,000
-10mbps Tanzania ni shilingi 79,000 ama 69,000 usipotaka tv zao.

Lete ushahidi wa bei rahisi kwa nchi nyengine na bei ghali hapa kwetu.

Source
Uganda - Home Internet – Zuku
Kenya- Home Internet – Zuku
Tanzania- Fiber – Zuku

Hao ni zuku, Raha ni rahisi zaidi hadi 60,000 kwa 10mbps.
 
Synthesizer, Mara nyingi ni government policy tu.

Nchi iliyo na direct access kwenye mikonga ya bahari, nchi yenye market kubwa zaidi na good economies of scale inatakiwa kuwa na gharama ndogo zaidi za internet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe bongo nchi tajiri GB moja n 11000 na bado wa2 wanashinda insta
 
Sitaendelea na huu mjadala mwenye interest anaweza Research at his own time.
 
Back
Top Bottom