thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Nimeomba methodologies ambazo zimetumika kutoa hitimisho la hizo tafiti.Mkuu unaelewa kweli ulichoandika? Hizo ulizoweka ni vifurushi vya Smatika. Utafiti umefanyika kwa matumizi ya data bila Kujiunga na kifurushi chochote kile.
Hebu jaribu kuweka 5,000 Airtel halafu tumia data bila kujiunga na kifurushi, then weka kipimo cha matumizi ya Data then ulete mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pili swala la data plans(vifurushi) halitolewi tu kwa Tanzania, ni almost dunia nzima muundo ndio huko hivyo.
Uuzaji wa vifurushi unatofautiana na makampuni, mfano kuna makampuni yanauza data plans kutokana na quantities(ambazo sie tunaita internet bando) na mengine huwa yanauza data plans kutokana na speed mfano ni simbanet.
Kwa nchi ambazo zimeendelea pia huuza data kwa mfumo wa vifurushi(packages) ila wenyewe plan zao huwa zipo kwa muundo wa speed. Hii hapa screenshot ya mtandao wa USA wa AT&T ikionyesha data plans zao na wanaziita majina kama mitandao ya huku kwetu tunavyoviita majina vifurushi.
Wireless Plans, Phone Plans, Family Plans - AT&T
Get great deals on our wireless plans, data plans, & family plans. AT&T Unlimited Elite has unlimited data with no data cap, 40GB of hotspot data, & HBO MAX.
www.att.com
Sasa mnapokuja na hoja yenu sijui ya kuweka 20,000 haimake sense kwa sababu data plans package ndio muundo unatumika kununua data karibu dunia nzima. Hizi tafiti zilizoletwa humu wala hazina reality kwa jinsi asilimia kubwa ya watz wanavyonunua data.
Na narudia kusema TZ ina unafuu kwenye bei za internet EA kuliko nchi yoyote.