Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

Mkuu 1,000 Rwandan franc ni sawa na 2,462 tsh. Pia wastan wa GB1 kwa Tz ni 2,000 tsh sio 11,500.
Nieleweshe kama sijakuelewa Mkuu.
 
Mkuu mimi sizungumzii vifurushi. Najua Airtel 1gb unaipata hata kwa 1,000 kwa Uni Ofa ambayo utatumia siku 3.

Utafiti alioleta mtoa mada umeweka average ya bei ya data bila kugusia vifurushi. Ukijua Objectives za utafiti huwezi kuwa na majibu yako kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app

hizo data hazina maana kwasababu watu hawatumii hivo sasa: huezi kulalamika tcra kwamba bei ya gb moja tanzania ni 11,000 wakati watu hawanunui kwa hio bei sasa: hapo unawaonea sasa

na ni upuuzi kupeleka haya malalamiko kwa sababu hamna mtu amekulazimisha utumie bila kuweka discount ya vifurushi, huezi kupeleka malalamiko kwamba unataka kutumia bila vifurushi:

haiwezekan ulalamike nguo inauzwa 100,000 mwanzoni wakati wameweka discount tayar unaweza kuipata hio hio kwa 20,000
 
stakehigh,

Sema wewe hutumii usihitimishe kila mtu hatumii. Nimekupa mfano kuna kampuni/ofisi zinakupa salio ambalo huwezi ukajiunga na hivi vifurushi. Wewe unafikiri kila mtu anajiunga kifurushi cha 500?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haiwezekani kwa sababu watu hawanunui hio GB 1 kwa hio bei tajwa hapo, research inaongelea kama hujaweka bundle inamaanisha gb moja itaisha kwa hio bei lakini watu hawafanyi hivo, sidhan kama kuna mtu anatumiaga akiweka tu salio bila kuunga discount ya vifurushi

ni sawa sawa leo ulalamike gharama ya kupanda kiazi kimoja mpaka kikue ni kubwa wakati watu wanalima viazi vingi kwa pamoja
Hivi wewe ukisikia matumizi ya internet na GB basi unajua ni kwa ajili ya simu za mkononi tu, kununua bundle na kuchat au kuangalia Youtube?

Hivi hujui kwamba hizo data zinatumika hata kwa mambo ya security nyumbani kwa watu? Kwa mfano, watu kama ZUKU wanauza data, lakini sio kwa hizo bundles unazosema wewe.
 
Huo mfano uliotoa sio mzuri tafuta mwingine. Halafu umeanzisha mada iko kushoto sawa sawa na kusema mchana ni usiku na usiku ndio mchana Ha ha. Yaani kama ni promo ya RW basi huenda kuna cheo mnatafuta huko RW kwa Pk kwa promo za ajabu. Jitahidi huenda ukapata u DC wa Gisenyi
Yaani wewe, ukisikia data cost tu unajua ni suala la bundles kwenye vifurushi?

I say, humu JF kuna watu wengi sana hamjui lakini hamjui kuwa hamjui, halafu mnabishana na wanaojua na wanajua kuwa wanajua.
 
Mkuu 1,000 Rwandan franc ni sawa na 2,462 tsh. Pia wastan wa GB1 kwa Tz ni 2,000 tsh sio 11,500.
Nieleweshe kama sijakuelewa Mkuu.
Kwa kifurushi cha Halotel? Mada hii iko mbali sana zaidi ya bei za vifurushi unavyonunua kama ofa za kampuni za simu ambazo lazima utumie ndani ya masaa kadhaa au kuanzia saa sita usiku hadi saa 12 asubuhi.
 
Hivi wewe ukisikia matumizi ya internet na GB basi unajua ni kwa ajili ya simu za mkononi tu, kununua bundle na kuchat au kuangalia Youtube?

Hivi hujui kwamba hizo data zinatumika hata kwa mambo ya security nyumbani kwa watu? Kwa mfano, watu kama ZUKU wanauza data, lakini sio kwa hizo bundles unazosema wewe.

kwan ulidhan mitandao ya simu inatoa wap internet? si wananua kama makampuni mengine? sasa kama wao wakauuzia gb 1 tsh 1000 , haiwezekan wao wauziwe gb 1 kwa tsh 11,000: kwa sababu itakua ni hasara, ndo maaana nkasema hapo juu hakunaga taarifa sahihi zinazotokaga muunganiko wa nchi za nje: tatizo nyie kila taarifa mkishaona tu mtandaoni mnaruka nyo hivo hivo
 
Yaani wewe, ukisikia data cost tu unajua ni suala la bundles kwenye vifurushi?

I say, humu JF kuna watu wengi sana hamjui lakini hamjui kuwa hamjui, halafu mnabishana na wanaojua na wanajua kuwa wanajua.

sasa we ulitaka ufocus kwa nan? mtumiaji wa mwisho ndo sisi wananchi? wewe unauziwa data gb 1 kwa tsh 1000 we ulidhan wao data ya 1gb walinunua kwa bei gan? 11,000 tsh? unavoongelea for bussiness issues hayo ni maswala mengine: na huwezi kupima kwa kutumia kiasi ukilinganisha na gb: bussiness doesnt go that way bro

most bussiness wanalipa internet kila mwezi na sio kwa gb, na mda mwingine matumzi yao sio makubwa kihivo ila kwa sababu ni kibiashara mwisho wa mwezi lazima ukalipie usifungiwe huduma

ni kama useme cable television, wao pia ni streaming service lakini huezi mlipisha mtu kwa kusema ukiangalia movie ya GB 1 ni kiasi flan maana wao wanaangalia mahesabu ya mwisho wa mwezi wafikishe amount ya kulipa wanaodaiwa: ndo maana unaangalia tv as much as unaweza lakini mwisho wa mwezi kifurushi chako ndo kinaongea, unaweza hata usiangalie tv kwa mwezi mzima kabisa lakini lazima mwisho wa mwezi ulipie: hivi ndivo bussiness upande wa internet inavokua:

same to mobile users cha msingi kifurushi:
 
sasa we ulitaka ufocus kwa nan? mtumiaji wa mwisho ndo sisi wananchi? wewe unauziwa data gb 1 kwa tsh 1000 we ulidhan wao data ya 1gb walinunua kwa bei gan? 11,000 tsh? unavoongelea for bussiness issues hayo ni maswala mengine: na huwezi kupima kwa kutumia kiasi ukilinganisha na gb: bussiness doesnt go that way bro
Unajua maana ya wastani?
 
kwan ulidhan mitandao ya simu inatoa wap internet? si wananua kama makampuni mengine? sasa kama wao wakauuzia gb 1 tsh 1000 , haiwezekan wao wauziwe gb 1 kwa tsh 11,000: kwa sababu itakua ni hasara, ndo maaana nkasema hapo juu hakunaga taarifa sahihi zinazotokaga muunganiko wa nchi za nje: tatizo nyie kila taarifa mkishaona tu mtandaoni mnaruka nyo hivo hivo
Do I say. Hivi wanao unawapeleka wapi shule? Maana sidhani kama utaruhusu wasome vitabu vilivyoandikwa na watu wengine, hasa mabebereu!
 
Back
Top Bottom