Hivi team Kiba kwanini mnamchukia Diamond kupita kiasi?

Hivi team Kiba kwanini mnamchukia Diamond kupita kiasi?

Ogopa hadi meneja wa msanii mmoja wapo anaenda hadi front kumfanyia figisu msanii wa team nyingine, au anaandika chuki yake kwenye mitandao na ni meneja kabisa wa msanii mwingine.
 
Ogopa hadi meneja wa msanii mmoja wapo anaenda hadi front kumfanyia figisu msanii wa team nyingine, au anaandika chuki yake kwenye mitandao na ni meneja kabisa wa msanii mwingine.
Prove ????njoo na ushaidi wa video kama sio picha
 
Hakuna anaemchukia Diamond mnajishtukia tu team Diamond ila wote acheni kujiona mpo juu hicho ndicho kinachokera
Na kinawakera kweli sio masihara , maana mnatamani kiba ndio awe kwenye hiyo position ya dai, tatizo mlikuwa na matarajio makubwa mnoooo ya kiba kupanda vuuup kama kishada huku mkijipa moyo kuwa dai automatically atashuka sasa imekuwa ngumu kumshusha kirahisi kama mlivyokuwa mnatarajia na ndio maana adreline zinawamwagika kwa wingi kila dai anavyokohoa. ILa mlipofika sio mbaya.
My take: tusipende kuchukiliana poa, usimdharau usiyemjua MPAKA LEO TEAM KIBA NA KIBA MWENYEWE ANAAMINI HESHIMA au UKUBWA WA JINA LA DAI UNASTAHILI KUWA WA KIBA, ukiuliza kwanini utajibiwa kiba ndio mwenye kipaji cha kuimba, like seriously sijui nani aliwacremisha hii kitu (hii mentality imemcost kiba in big way) na bado itamcost kama hamtabadilisha huo mtazamo KIPAJI NA BIDII YA KAZI SHOULD WORK TOGETHER, sasa wakati kiba akiwa mejiweka ndani kama utumbo akisubiri kipaji kimfanyie kazi dai is out there every where working like hell to keep himself up n up na hiyo ndio sababu KUBWAAAAAAAA dai ANAPENDWA BUREEEEEE Kiba si anapendewa kipaji chake? Dai yeye anapendwa bureeee.
 
Mimi shabiki wa mond.. Ila mond hajui kuimba zaidi ya kiba.
Na hapo ndipo mzizi wa chuki ulipo, eti kwa sababu kiba anajua kuimba kuliko dai basi wengi wenu mnaamini kiba ndio anastahili kukubalika zaidi, kwa hili mnafeli sana best formular ya maisha haipo hivyo.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124] am outchea
 
😉😉🙂😉😵😵😵😉🙂🙂🙂😉😉🙂🙁🙁🙁🙁😉🙁😉🙁🙁😡🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁
 
Na kinawakera kweli sio masihara , maana mnatamani kiba ndio awe kwenye hiyo position ya dai, tatizo mlikuwa na matarajio makubwa mnoooo ya kiba kupanda vuuup kama kishada huku mkijipa moyo kuwa dai automatically atashuka sasa imekuwa ngumu kumshusha kirahisi kama mlivyokuwa mnatarajia na ndio maana adreline zinawamwagika kwa wingi kila dai anavyokohoa. ILa mlipofika sio mbaya.
My take: tusipende kuchukiliana poa, usimdharau usiyemjua MPAKA LEO TEAM KIBA NA KIBA MWENYEWE ANAAMINI HESHIMA au UKUBWA WA JINA LA DAI UNASTAHILI KUWA WA KIBA, ukiuliza kwanini utajibiwa kiba ndio mwenye kipaji cha kuimba, like seriously sijui nani aliwacremisha hii kitu (hii mentality imemcost kiba in big way) na bado itamcost kama hamtabadilisha huo mtazamo KIPAJI NA BIDII YA KAZI SHOULD WORK TOGETHER, sasa wakati kiba akiwa mejiweka ndani kama utumbo akisubiri kipaji kimfanyie kazi dai is out there every where working like hell to keep himself up n up na hiyo ndio sababu KUBWAAAAAAAA dai ANAPENDWA BUREEEEEE Kiba si anapendewa kipaji chake? Dai yeye anapendwa bureeee.
Hii nguvu uliyotumia kuandika post ndefu hivi ungeitumia kupalilia majani hapo nje kwenu.
 
Hivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama hautautumia kufanya kazi kwa bidii ili nawe ufanikiwe.

Kila anachofanya Diamond kwenu ni kibaya na dhambi, mlitaka afanyaje ili mridhike? Mbona mashabiki wa Diamond hawamchukii Alikiba, au mnadhani Diamond akifulia basi automaticaly Kiba ndo atachukua nafasi yake? Hii mambo inawaharibia hadi wasanii wengine wanaonekana hawana mana bali ni Ali kiba na Diamond ndo wenye maana. Kucha kutwa kumwaga povu juu ya Diamond.

Nyie mkimuona mtu anakosa pesa ya kula ndo mnafurahi, uchawi huo.
Naona povu limekutoka tena la sabuni za kupima. inshort hapo hakuna chuki ni upinzani tu kati ya mashabiki. ni sawa kama simba na yanga. yanga ata ilete kombe la dunia mbele ya mshabiki wa simba ni sawa na kazi bure.
 
Mnagang'ania ooh ana sauti nzuri, Kuna washiriki wa BSS wana vocal kali kuliko huyo msanii Leo wako wapi, asikudanye mtu diamond platnumz ni msanii anayejituma na anamelody nyingi, ndio maana anaweza kufanya aina nyingi za mziki kurap, regae, kuimba vanga (mdogomdogo), afro pop, mduara (nasema nawe), bongo fleva nk, nadhani juzi ktk wimbo wa coke studio alifanya kitu tofauti. Kuhusu huyo jamaa kushindanishwa na diamond platnumz ni gia ya kurudi kwenye gem, ili watu wamwonee huruma
12353996_994088980648778_1680997415_n.jpg
na si vyinginevyo
 
mimi nimeongelea general picture wala sijasema ni shabiki wa kiba, bt nmemwambia mleta mada kwamba sio domo peke ake ndo anachukiwa na mashabiki wa kiba but hata kiba anachukiwa na wa domo. Nadhani umenielewa.
Sio kweli
 
Back
Top Bottom