Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ogopa hadi meneja wa msanii mmoja wapo anaenda hadi front kumfanyia figisu msanii wa team nyingine, au anaandika chuki yake kwenye mitandao na ni meneja kabisa wa msanii mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prove ????njoo na ushaidi wa video kama sio pichaOgopa hadi meneja wa msanii mmoja wapo anaenda hadi front kumfanyia figisu msanii wa team nyingine, au anaandika chuki yake kwenye mitandao na ni meneja kabisa wa msanii mwingine.
Muambie mleta thread akuletee prove ya video na picha ya alichokiandika.Prove ????njoo na ushaidi wa video kama sio picha
Naona unaongea undoroboMi nina povu na wewe umekerekwa na povu langu,ndio maana ukani quote si ndio.......... ??
Hayo ma undorobo ndio nimeshayaleta hapa,haya andamana, na siyaachi kama hujanyamaza.Naona unaongea undorobo
ayo mateam team ushuzi peleka insta
This is the home of great thinkers sio ayo makorokocho yako
Siandamaniagi upuuzi wa watu wasiojua hata jinsia zao.Hayo ma undorobo ndio nimeshayaleta hapa,haya andamana, na siyaachi kama hujanyamaza.
Na kinawakera kweli sio masihara , maana mnatamani kiba ndio awe kwenye hiyo position ya dai, tatizo mlikuwa na matarajio makubwa mnoooo ya kiba kupanda vuuup kama kishada huku mkijipa moyo kuwa dai automatically atashuka sasa imekuwa ngumu kumshusha kirahisi kama mlivyokuwa mnatarajia na ndio maana adreline zinawamwagika kwa wingi kila dai anavyokohoa. ILa mlipofika sio mbaya.Hakuna anaemchukia Diamond mnajishtukia tu team Diamond ila wote acheni kujiona mpo juu hicho ndicho kinachokera
Na hapo ndipo mzizi wa chuki ulipo, eti kwa sababu kiba anajua kuimba kuliko dai basi wengi wenu mnaamini kiba ndio anastahili kukubalika zaidi, kwa hili mnafeli sana best formular ya maisha haipo hivyo.Mimi shabiki wa mond.. Ila mond hajui kuimba zaidi ya kiba.
Hii nguvu uliyotumia kuandika post ndefu hivi ungeitumia kupalilia majani hapo nje kwenu.Na kinawakera kweli sio masihara , maana mnatamani kiba ndio awe kwenye hiyo position ya dai, tatizo mlikuwa na matarajio makubwa mnoooo ya kiba kupanda vuuup kama kishada huku mkijipa moyo kuwa dai automatically atashuka sasa imekuwa ngumu kumshusha kirahisi kama mlivyokuwa mnatarajia na ndio maana adreline zinawamwagika kwa wingi kila dai anavyokohoa. ILa mlipofika sio mbaya.
My take: tusipende kuchukiliana poa, usimdharau usiyemjua MPAKA LEO TEAM KIBA NA KIBA MWENYEWE ANAAMINI HESHIMA au UKUBWA WA JINA LA DAI UNASTAHILI KUWA WA KIBA, ukiuliza kwanini utajibiwa kiba ndio mwenye kipaji cha kuimba, like seriously sijui nani aliwacremisha hii kitu (hii mentality imemcost kiba in big way) na bado itamcost kama hamtabadilisha huo mtazamo KIPAJI NA BIDII YA KAZI SHOULD WORK TOGETHER, sasa wakati kiba akiwa mejiweka ndani kama utumbo akisubiri kipaji kimfanyie kazi dai is out there every where working like hell to keep himself up n up na hiyo ndio sababu KUBWAAAAAAAA dai ANAPENDWA BUREEEEEE Kiba si anapendewa kipaji chake? Dai yeye anapendwa bureeee.
Naona povu limekutoka tena la sabuni za kupima. inshort hapo hakuna chuki ni upinzani tu kati ya mashabiki. ni sawa kama simba na yanga. yanga ata ilete kombe la dunia mbele ya mshabiki wa simba ni sawa na kazi bure.Hivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama hautautumia kufanya kazi kwa bidii ili nawe ufanikiwe.
Kila anachofanya Diamond kwenu ni kibaya na dhambi, mlitaka afanyaje ili mridhike? Mbona mashabiki wa Diamond hawamchukii Alikiba, au mnadhani Diamond akifulia basi automaticaly Kiba ndo atachukua nafasi yake? Hii mambo inawaharibia hadi wasanii wengine wanaonekana hawana mana bali ni Ali kiba na Diamond ndo wenye maana. Kucha kutwa kumwaga povu juu ya Diamond.
Nyie mkimuona mtu anakosa pesa ya kula ndo mnafurahi, uchawi huo.
Sio kwelimimi nimeongelea general picture wala sijasema ni shabiki wa kiba, bt nmemwambia mleta mada kwamba sio domo peke ake ndo anachukiwa na mashabiki wa kiba but hata kiba anachukiwa na wa domo. Nadhani umenielewa.
Kaa na ukweli wako, me nabaki na uongo wangu, then maisha yanaendelea kama kawa. have a gud daySio kweli
Juzi juzi tu hapa wamechoma Tshirt za WCB team kiba chuki zao zinaonekana wazi ni noticeableUmesahau mpk mnabebaga makopo ya mikojo na kuzomea ili aonekane boss kapafom vzur
Same uKaa na ukweli wako, me nabaki na uongo wangu, then maisha yanaendelea kama kawa. have a gud day