Hivi tokea afrika iumbwe kumeshawahi kutokea harusi kama hii? Dada zetu wa kitanzania mjitafakari

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?

Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.

Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!

Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
 
Hii ndoa imefungishwa mara ngapi??
 
Kichwa Cha habari kinazungumza vingine ,ila tumeelewa nakusogezea hii jux alipiga kazi clouds naunawajua wale niwazee wa showoff hawaja mwachakijanawao hivihivi wameenda kumpa support na media zabongo umbea na showoff hutwambikitu mbona ni yakawaida ,ulikuwepo wakati Jafari anafungua car wash yake pale mayfea
 
Cha kujifunza kipi hapo?? Hao wanaume watatu kwenda kuoa nchi za nje? Hao ndo wanaume waliokuwepo Tz? Huyo Ben pol ndoa yake ilifika mwaka?? Alikiba Kiko wap?? Wanaume wamejaa na hawana shobo na nchi za wengine na wanaoa Kila siku kwann tuwawaze hao watatu
 
Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?

Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.

Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!

Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Sisi tunaenda na Aziz Ki na Hamisa.
 
Hyo ndoa ishageuzwa biashara
Watakuja bongo watafunga,then wataenda naija tena itafungwa tena watarudi bongo harusi tena
Itaenda mwaka mzimaa..
Nyie kaeni tu muifatilie ndoa hyoo

Ova
 
Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?

Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.

Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!

Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Wataachana tu
 
Hapo Kuna harusi ila hakuna ndoa!
 
Back
Top Bottom