Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 20,292
- 24,746
Mbinafsi......ana siri kubwa ndani yake....sio real...ukute yeye ni m....k.....e.....w...a....m....t....u.....Yule anatakiwa apate mwanamke wa kichaga ampeleke peleke kijeshi
Mbinafsi......ana siri kubwa ndani yake....sio real...ukute yeye ni m....k.....e.....w...a....m....t....u.....Yule anatakiwa apate mwanamke wa kichaga ampeleke peleke kijeshi
Siwapangii maisha watu ila hizo harusi ni mwendelezo wa akili zetu mbovu za kuwekeza pesa nyingi kwenye mambo yasiyo na faida. Harusi hairudishi pesa iliyowekezwa. Kupitia Jux kuna wapumbavu wengi sana wataiga huo ushenzi na kuishia kuteketeza pesa nyingi kwenye harusi. Sio jambo la kufurahia kwa wapenda maendeleo.Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!
Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Kuna siku alikuwa anahojiwa na silawadu Sasa alivokuwa anajibu nilitamani nivunje tv nimfuate nikampe head 🗣️ za kufa raiaMbinafsi......ana siri kubwa ndani yake....sio real...ukute yeye ni m....k.....e.....w...a....m....t....u.....
MnoCha kujifunza kipi hapo?? Hao wanaume watatu kwenda kuoa nchi za nje? Hao ndo wanaume waliokuwepo Tz? Huyo Ben pol ndoa yake ilifika mwaka?? Alikiba Kiko wap?? Wanaume wamejaa na hawana shobo na nchi za wengine na wanaoa Kila siku kwann tuwawaze hao watatu
Interview za Ali huwa zinakera mno.Kuna siku alikuwa anahojiwa na silawadu Sasa alivokuwa anajibu nilitamani nivunje tv nimfuate nikampe head 🗣️ za kufa raia
Kwa wenye pesa, hata akitumia milion 800 Kwa HARUSI anaona SIO kitu hapo hatamimi sipendi sherehe, naskia Kwa mwanamke kule Nigeria wapo njema sanaSiwapangii maisha watu ila hizo harusi ni mwendelezo wa akili zetu mbovu za kuwekeza pesa nyingi kwenye mambo yasiyo na faida. Harusi hairudishi pesa iliyowekezwa. Kupitia Jux kuna wapumbavu wengi sana wataiga huo ushenzi na kuishia kuteketeza pesa nyingi kwenye harusi. Sio jambo la kufurahia kwa wapenda maendeleo.