comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hii ndoa imefungishwa mara ngapi??Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!
Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Uchawi huoKwahiyo baada ya kwenda huko sahii wana nini? Hata jux tunampa muda nyumbani watarudi tu
Kichwa Cha habari kinazungumza vingine ,ila tumeelewa nakusogezea hii jux alipiga kazi clouds naunawajua wale niwazee wa showoff hawaja mwachakijanawao hivihivi wameenda kumpa support na media zabongo umbea na showoff hutwambikitu mbona ni yakawaida ,ulikuwepo wakati Jafari anafungua car wash yake pale mayfeaDada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!
Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Benpol hata alishasahau kama aliwahi kuoa, kiba analea watoto, huyu wa jux mmhh mdomo komaaUchawi huo
Sisi tunaenda na Aziz Ki na Hamisa.Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!
Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Wataachana tuDada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!
Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
mkuu,jua la asubuhi halichomi,bado mapema sana.Hongera hiyo wapewe waliozeeka pamoja tu.Kumpata mwanamke Kama Prisica wa Jux hapa Tz sio vyepesi
Hapo Kuna harusi ila hakuna ndoa!Dada zetu mnafeli wapi? Kwanin wasanii wakubwa hawapendi kuoa dada zetu WA hapa tz?
Jux Kaenda Nigeria
Alikiba alienda Kenya
Benpol alienda Kenya
Na kuna tetesi kuna safari nyingne ya Nigeria kumsindikiza Simba kwani hana mpango WA kumuoa binti kizimkazi.
Hii HARUSI imetikisa, kila siku sherehe, mavazi ya gharama duuhh!!!
Salute Sana juma jux, ila baada ya Leo kufungishwa ndoa na Mchungaji ñaona Wana kobazi washaanza kutokwa povu eti anakufuru
Kiba hata ukicheki sura TU unajua Kabisa hawezi ishi hata na mwanamke ndaniBenpol hata alishasahau kama aliwahi kuoa, kiba analea watoto, huyu wa jux mmhh mdomo komaa
Nimesoma nimekuelewa ila sitakujibu,sitaki Ban la pasaka!Kiba hata ukicheki sura TU unajua Kabisa hawezi ishi hata na mwanamke ndani
Kiba ni mbinafsi sanaa haweI ishi na mwanamke.....hawezi kuoa ndoa ikasimama ni fake sanaaa...Kiba hata ukicheki sura TU unajua Kabisa hawezi ishi hata na mwanamke ndani
Yukojee Mkuu maana hata sijaona picha yakeKumpata mwanamke Kama Prisica wa Jux hapa Tz sio vyepesi
Yule anatakiwa apate mwanamke wa kichaga ampeleke peleke kijeshiKiba ni mbinafsi sanaa haweI ishi na mwanamke.....hawezi kuoa ndoa ikasimama ni fake sanaaa...