Hivi tokea afrika iumbwe kumeshawahi kutokea harusi kama hii? Dada zetu wa kitanzania mjitafakari

Hap kuoa huko haina maana kwamba mabinti zetu hawana maana ama hawafai, kuoa ni preference ya mtu.

Kwani yule mnigeria aliemuoa Vanessa hakuona mabinti wazuri Nigeria ama Marekani anakoishi hadi aje kuoa Bongo?

Hebu heshimu dada/mama xetu mkuu.
 
Siwapangii maisha watu ila hizo harusi ni mwendelezo wa akili zetu mbovu za kuwekeza pesa nyingi kwenye mambo yasiyo na faida. Harusi hairudishi pesa iliyowekezwa. Kupitia Jux kuna wapumbavu wengi sana wataiga huo ushenzi na kuishia kuteketeza pesa nyingi kwenye harusi. Sio jambo la kufurahia kwa wapenda maendeleo.
 
Mbinafsi......ana siri kubwa ndani yake....sio real...ukute yeye ni m....k.....e.....w...a....m....t....u.....
Kuna siku alikuwa anahojiwa na silawadu Sasa alivokuwa anajibu nilitamani nivunje tv nimfuate nikampe head 🗣️ za kufa raia
 
Mno
 
Kwa wenye pesa, hata akitumia milion 800 Kwa HARUSI anaona SIO kitu hapo hatamimi sipendi sherehe, naskia Kwa mwanamke kule Nigeria wapo njema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…