stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
- Thread starter
- #41
Mkuu matokeo yake yapo clean hakuna alipofeli na wamethibitisha hilo hivi unanielewa lakini ninachokwambia kua wamekagua kuhusu kuanzia matokeo na kila kitu km mwanafunzi anadaiwa na Chuo wamekuta mwanafunzi hana tatizo na wala Chuo hakimdai mwanafunzi, issue ni KUPRINT transcript na kumpatia tu hapo ndio kuna mvutano kuiprint hio transcript ndio danadana zinaanzia hapoCheti ni cover tu na unapewa kama hujafeli domo lolote ila transcript ni MATOKEO yako ya chuo na hiyo ni muhimu zaidi na inazuiliwa kama una deni chuoni.
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app