Hivi trillionaire wa Bongo aliyepotea amepatikana au la?

jibu swali lote kwa ufasaha mkuu ,usijibu kama umekoswakoswa na alshababi wa westgate au garissa
Alshabaab, westgate na garissa wana uhusiano gani na hii mada? Mbona huwa mnakumbuka ukatili uliotekelezwa Kenya kila wakatihuku mkiTucheka? Shukuruni rabana maana kiFo hakipo kwenu
 
unaandika pumba tu, exchange rate ya Korean won kwa usd ni 1000 to 1 yani two billions za Mo ni zaidi ya 2 trillion Korean won. Sasa kwa msuli wa Korea mna udole wa kuwadhihaki? Au kuambiwa ni 100 ksh to 1$ mnajiona mna uchumi mkubwa?
Wacha kutaja waume wenzio...trillionaire wa bongo huyo
 
Ukweli usio fichika mambo kama haya yamekithiri kwa nchi kama Kenya na Nageria. kama ilikuwa njama ya kutaka kuyaleta Tanzania, mtakuwa mmefeli sana. Hatuta badili maisha yetu na uhuru wetu vidogo kama hivi.

Waapii, ni kwamba vyombo vyenu vya habari vimetiwa ndani ya mtungi havisemi, vipo kimya, havina uthubutu na usemi kama vya Kenya. Kwenu utekaji mbona issue ya kawaida sana akina Ben Saanane na wengine wengi ambao tunaona wakitajwa Jamii Forums, maana vyombo vya kawaida vimeingiwa hofu, visije vamiwa na Makonda kama alivyofanya akina SHILAWADU.

Hili la MO lilikua limewatoa jasho sana nyie miCCM wa mitandaoni, naona mtapata afueni maana mumetengezewa pa kutokea baada ya hizi nyuzi mnaanzisha za kuelekeza pua Kenya. Watanzania walivyo na ile herd mentality waliyorithi kutoka ujamaa watafuata mkumbo bila kuhoji, hivyo mtapumzika, lakini kiaina mpira unaweza kurudi huko huko, labda mpumzike siku chache tu.
 
Haya mambo ni makubwa kuliko mshahara wako.
 
Kanyambe ulale.
 
Haya mambo ni makubwa kuliko mshahara wako.

Lakini msala bado mnao, maana naona kule jukwaa la siasa Watanzania wanahoji balaa, hizi nyuzi mnaanzisha huku Kenyan news zimeshindwa kuwabadilisha Watanzania, wamekomaa na maswali.
 
Wakomae tu, lakini tunaoelewa tunayaelewaka, na hayatutishi.
 
Halafu nimeona top gun wenu wa JF Ccm Barbarosa anatibua Watanzania na nadharia eti MO kajiteka, raundi hii mnapoteana hata wenyewe humu.
Kwa mlio nje ndio mnafikiri watu wamepoteana. Kama ni biashara zinaendelea, kama ni viwanda vinafanya kazi. Tofauti na wenzetu, mkiguswa patamu kila kitu kina simama.
 
Back
Top Bottom