Hivi tukiacha blaahblaah na porojo za kufarijiana kiimani, tukifa tunaenda wapi?⚰️⚰️

Hivi tukiacha blaahblaah na porojo za kufarijiana kiimani, tukifa tunaenda wapi?⚰️⚰️

Hakuna mahali popote pale tutakapo kwenda.

Tukishakufa tunaoza na kuwa sehemu ya udongo tu.

Hatukuwepo mahali popote pale kabla ya kuzaliwa kwetu, Vivyo hivyo hatutakuwepo mahali popote pale baada ya kufa.

Tukifa tunarudi hali ileile ya kutokuwepo kabla ya kuzaliwa.

We had no life before birth and we will not have life after death.
 
Ukifa utabaki tu kwenye kumbukumbu za watu, utakumbukwa kwa uzuri ama ubaya, hizi pepo na moto hazina uthibitisho ni imani tu..
 
Back
Top Bottom