Katika record labels zote za Tanzania au tuseme East Africa yote ni Artist gani anayewekeza kwa moyo wote kukuza vipaji na kuwapa exposure wasanii wake?
Huyo Mmakonde hawapi chance wala ku-push career za wasanii wake ili wafikie mafanikio badala anawatumia kama stepping stones, wakitoa nyimbo nanye anatoa hapohapo kama anashindana nao matokeo yake wamebaki kudumaa kimafanikio/kisanaa.
Kiba ndiyo kabisa worse, mdogo wake(Abdul Kiba) such a talented singer(tatizo mbele ya media kwenye kuzungumza/kujibu maswali ni mbumbumbu zero brain kama kaka yake) lakini inaonekana label inamfinya bora angekuwa independent artist.
WCB kwa sasa ni moja ya brands kubwa Africa kwa kukuza na kuendelea talents mpaka kuwafikisha wasanii kwenye international recognition, there are two sides of the coin. Hata mahakamani huwa wanasikiliza mlalamikaji na mlalamimiwa to balance the story.