The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Pia bei ya mafuta imepanda sababu ya figisu za diamondHata Taifa Stars inafungwa kwasababu ya huyu huyu Diamond shenzi zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia bei ya mafuta imepanda sababu ya figisu za diamondHata Taifa Stars inafungwa kwasababu ya huyu huyu Diamond shenzi zake.
Pia bei ya mafuta imepanda sababu ya figisu za diamond
Funguka kidogoHata Taifa Stars inafungwa kwasababu ya huyu huyu Diamond shenzi zake.
Darlene hana kipaji, hilo liko wazi pale yupo yupo tu anabebwa.Abdul ana tofauti gani na Darlin?
Au kutokung'aa kwa Abdul tatizo ni Ally lakini kutokung'aa kwa Darlin tatizo ni Darlin[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa Kibakuli huyuKwa akili yako kama mtu mzima Diamond anawezaje mshusha msanii anaefanya kazi zake mbali na yy, na n kwann ameshindwa mshusha Alli kiba kama ameweza kwa hao wengine....? Hv unaamini wasanii wote walioshindwa kimziki wameshushwa na Diamond...?
Wewe ambaye huna roho ya kukunja umewainua watu wangapi kwenye jamii yako ?To be honest wcb sijawah wakubali Wala kuwaelewa hata kwa cm yangu huwez kuta nyimbo zao.
Ni watu fulan wenye jealous balaa hawatak mwingine ainuke ,yule salama na dai ni binadam wenye roho za kukunja Sana hasa yule salama ndie anamfundisha dai roho ya uchawi na kweli saiz kawa mchawi kweli
Max Voice ndio namsikia kwako, anaimba nin?Darlene hana kipaji, hilo liko wazi pale yupo yupo tu anabebwa.
Abdul Kiba ni talented hata ukisikiliza anavyoimba lakini tatizo nadhani ni promo au mipango mibovu ya management, kwa kipaji chake angekuwa na Diamond angeshafika levels za akina Harmo, Vanny, Mbosso au Lavalava.
Kwa sasa anazidiwa hata na Ibra na Mac Voice, yeye akiitisha show na Mac Voice akaitisha show ya Mac Voice itajaza zaidi ya show ya Abdul Kiba.
kuna mtu mdogo wake tu kashindwa kumfanya awe msanii mkubwa wa kiushindani
Naongelea kiba na Abdu kiba