Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 405
Na roho yake mbaya lakini alifanya ajulikane aliyekataliwa nankufukuzwa bss
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of sabotaging and pulling others.
Katika record labels zote za Tanzania au tuseme East Africa yote ni Artist gani anayewekeza kwa moyo wote kukuza vipaji na kuwapa exposure wasanii wake?
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of sabotaging and pulling others.
Mimi siyo shabiki wa bongo flavour ila huuu ndio ukweli watu wengi hawapendi kuusikia...Katika record labels zote za Tanzania au tuseme East Africa yote ni Artist gani anayewekeza kwa moyo wote kukuza vipaji na kuwapa exposure wasanii wake?
Huyo Mmakonde hawapi chance wala ku-push career za wasanii wake ili wafikie mafanikio badala anawatumia kama stepping stones, wakitoa nyimbo nanye anatoa hapohapo kama anashindana nao matokeo yake wamebaki kudumaa kimafanikio/kisanaa.
Kiba ndiyo kabisa worse, mdogo wake(Abdul Kiba) such a talented singer(tatizo mbele ya media kwenye kuzungumza/kujibu maswali ni mbumbumbu zero brain kama kaka yake) lakini inaonekana label inamfinya bora angekuwa independent artist.
WCB kwa sasa ni moja ya brands kubwa Africa kwa kukuza na kuendelea talents mpaka kuwafikisha wasanii kwenye international recognition, there are sides of the coin. Hata mahakamani huwa wanasikiliza mlalamikaji na mlalamimiwa to balance the story.
Diamond mzee wa ndumba na ngaye
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of sabotaging and pulling others.
Abdul ana tofauti gani na Darlin?Katika record labels zote za Tanzania au tuseme East Africa yote ni Artist gani anayewekeza kwa moyo wote kukuza vipaji na kuwapa exposure wasanii wake?
Huyo Mmakonde hawapi chance wala ku-push career za wasanii wake ili wafikie mafanikio badala anawatumia kama stepping stones, wakitoa nyimbo nanye anatoa hapohapo kama anashindana nao matokeo yake wamebaki kudumaa kimafanikio/kisanaa.
Kiba ndiyo kabisa worse, mdogo wake(Abdul Kiba) such a talented singer(tatizo mbele ya media kwenye kuzungumza/kujibu maswali ni mbumbumbu zero brain kama kaka yake) lakini inaonekana label inamfinya bora angekuwa independent artist.
WCB kwa sasa ni moja ya brands kubwa Africa kwa kukuza na kuendelea talents mpaka kuwafikisha wasanii kwenye international recognition, there are two sides of the coin. Hata mahakamani huwa wanasikiliza mlalamikaji na mlalamimiwa to balance the story.
Winning rate ya Diamond ni 80%, winning rate ya Alikiba ni 55% , japo wote ni wachawiAbdul ana tofauti gani na Darlin?
Au kutokung'aa kwa Abdul tatizo ni Ally lakini kutokung'aa kwa Darlin tatizo ni Darlin[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi na hao wengine akina K2ga (ana miaka zaidi ya miatu mwaka mwezi 10 anatimiza wanne) na Tommy Flavour (huyu ana miaka miwili),kwa nini hawang'ai.Abdul ana tofauti gani na Darlin?
Au kutokung'aa kwa Abdul tatizo ni Ally lakini kutokung'aa kwa Darlin tatizo ni Darlin[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We nani sasa .To be honest wcb sijawah wakubali Wala kuwaelewa hata kwa cm yangu huwez kuta nyimbo zao.
Ni watu fulan wenye jealous balaa hawatak mwingine ainuke ,yule salama na dai ni binadam wenye roho za kukunja Sana hasa yule salama ndie anamfundisha dai roho ya uchawi na kweli saiz kawa mchawi kweli