Weeeh! Wanasayansi watakwambia Maralia ilipanda Kichwani, ama Kuna Jambo alilifikilia Sana Mchana......!Yule Dada mwenye maziwa ya Mbwa anatisha Kama nini?
Madaktari watueleze inawezakana vipi Binadamu awe na maziwa ya Mbwa?
Mi nachojua kuna imani za kishirikina, ila ushirikina wenyewe hauponi rahisi kuja na ngonjera za namna hii bt amini usiamin uchawi upo na unatesa maelfu ya watu katika jamii zetu.
ni rahisi kuja na ngonjera za namna hii bt amini usiamin uchawi upo na unatesa maelfu ya watu katika jamii zetu.
watu wenye ufaham mdogo kama wewe ni kawaida yao kuwaona wajinga watu walotofautiana nao mitizamo juu ya jambo lolote.Unataka aamini kama nyumbu tu wakati ana bongo na anaweza kufikiri.
Story za kusadikika za uchawi zinaaminiwa na watu wajinga na wavivu wa kufikiri.
mkuu hujawahi hata kuangalia michezo ya mazingaombwe?Mi nachojua kuna imani za kishirikina, ila ushirikina wenyewe haupo
Maana hata wachawi wenyewe hawakutokea???Mwaka 1964 James randi aliweka dollar 1M kwa yeyote atakayefanikisha kuthibitisha uchawi upo, maelfu ya watu walijitokeza kugombea hiyo challenge lakini mpaka 2015 challenge likawa terminated ikiwa hakuna aliyeweza kufanikiwa kuthibitisha
Sitashangaa kusikia umejitangaza kuwa nabii.@Mshana Jr
Hivi watu hamna kazi za kufanya eh? Maandish yote haya halaf hamna cha maana
Sitashangaa kusikia umejitangaza kuwa nabii.
Maandiko yanasema, binti zenu watatabiri, vijana wataona maono na wazee wenu wataota ndoto.
Kuziamini ndoto za umri wa miaka 27,utakuwa ni uchawi.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Unataka aamini kama nyumbu tu wakati ana bongo na anaweza kufikiri.
Story za kusadikika za uchawi zinaaminiwa na watu wajinga na wavivu wa kufikiri.
Weeeh! Wanasayansi watakwambia Maralia ilipanda Kichwani, ama Kuna Jambo alilifikilia Sana Mchana......!
Usishangae wakaomba uthibisho....
Mwaka 1964 James randi aliweka dollar 1M kwa yeyote atakayefanikisha kuthibitisha uchawi upo, maelfu ya watu walijitokeza kugombea hiyo challenge lakini mpaka 2015 challenge likawa terminated ikiwa hakuna aliyeweza kufanikiwa kuthibitisha
Wazungu wamekuharibu kichwaMwaka 1964 James randi aliweka dollar 1M kwa yeyote atakayefanikisha kuthibitisha uchawi upo, maelfu ya watu walijitokeza kugombea hiyo challenge lakini mpaka 2015 challenge likawa terminated ikiwa hakuna aliyeweza kufanikiwa kuthibitisha
HakikaWanasayansi yapo mambo yamewazidi Uelewa ndio maana yanawashinda.
Sio kila kitu kinaonekana au kugusika
Una kiwango gani cha elimumkuu haya mambo yapo, haijalishi unaamini au la, mimi nimewahi kushuhudia mjomba wangu akipooza mwili mzima ajili ya kudai mirathi, iliposhindikana kudai kwa njia ya kawaida alifungua kesi, baada ya kufungua kesi aliambiwa na mke wa babu mdogo "we si unajifanya unajua haya tutaona" usiku wa kuamkia siku kesi inaanza kusikilizwa alipooza na hakuwahi hudhuria kesi mpaka ikafutwa, mama, ancle mdogo na wadogo zao waliogopa kuhudhuria wakijua nao yatawafika, baada ya kupona alitokomea mazima hadi leo hatujawahi kumuona.
Una kiwango gani cha elimuni rahisi kuja na ngonjera za namna hii bt amini usiamin uchawi upo na unatesa maelfu ya watu katika jamii zetu.