Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Hata humu wachawi wapo ndio maana tunaweka pic na id fake ili wasituroge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀
Mambo ya Imani hayathibitishwi Kwa matakwa ya mtu Fulani.
Hata Mungu huwezi jisemea kuwa atakayemthibitisha Mungu kuna Trillion moja hapa, hawezi kujitokeza.
Kutoka mwaka 1964-2015 ni miaka zaidi ya 50Ina
Maana hata wachawi wenyewe hawakutokea???
Mazingaombwe ni tricks tumkuu hujawahi hata kuangalia michezo ya mazingaombwe?
Kwa sifa za wachawi ambazo tunasimuliwa wanaweza kupata taarifa zako bila hata kuambiwa na mtuHata humu wachawi wapo ndio maana tunaweka pic na id fake ili wasituroge
Unaweza kufanya hizo trick mfano umeze ela afu itokee ndani ya mfuko wa mtu mwengine?Mazingaombwe ni tricks tu
Trick sio kumeza hela, trick ni kufanya watu waone umemeza helaUnaweza kufanya hizo trick mfano umeze ela afu itokee ndani ya mfuko wa mtu mwengine?
Sawa mkuuTrick sio kumeza hela, trick ni kufanya watu waone umemeza hela
Hiyo inaitwa cheating in game
[emoji23][emoji23] aiseeKuna jamaa yangu alikua ana dawa fulani alitoa tukuyu...yaani anaweza akamtuma mtoto dukani bila ela..mfano anamwambia nenda kwa yule mama mwambie kaka kanituma nyanya, mafuta na mazagazaga mengine na mtoto analeta
nakumbuka kuna siku tulikunywa pombe za 50000 afu hatuna hata mia...na akaunta akaishiwa kuliwa kimasihara..
We ndo hauna kazi kucomment kwenye vitu visivyokuhusu....ungepita tu wapo inaowahusuHivi watu hamna kazi za kufanya eh? Maandish yote haya halaf hamna cha maana
Huwa unasoma kwa kuruka ruka ama?! Amesema yametokea Moro wewe unasema Dar!Huko dsm kwa wachawi au, Hii ni Tungo tata isije ikawa ni fasihi simulizi iliyoambatana na masuala ya siasa , Ngoja niwasubiri watalamu wa visa Siri wake kublock hii code
Ni uchawi tuYule Dada mwenye maziwa ya Mbwa anatisha Kama nini?
Madaktari watueleze inawezakana vipi Binadamu awe na maziwa ya Mbwa?
Uwongo wowote unaweza kufichwa kwa kichaka hicho, kua jambo fulani la kweli ila haiwezekani kuthibitishwa hivyo so we kubali tu hivyo hivyo kama ulivyoambiwa
Lakini pamoja na wewe kusema mambo ya imani hayathibitishwi, ni imani ngapi ambazo hukubaliana nazo?
Au kila kitu kilichopo katika mhimili wa imani kwako ni acceptable?
Umemaliza. Kuna watu wanadhani wanasayansi ni alfa na omega. Shit kabisa!Wanasayansi yapo mambo yamewazidi Uelewa ndio maana yanawashinda.
Sio kila kitu kinaonekana au kugusika
Imani jumuishi zipo ila uhalisia wa hizo imani ndio haupo, mimi sipingi kwamba hakuna imani za kishirikina, napinga kua kinachodaiwa kua ni ushirikina kina relate na uhalisiaSio kila Imani ni Acceptable, Ila kuna Imani jumuishi Kama vile kusema Uchawi upo, hii ni Imani, kuiamini kunaitwa ushirikina,
Kujua Uchawi upo hakumfanyi mtu awe mshirikina, Kama vile kujua Mungu yupo hakukufanyi uwe Muumini wake
Zipo Imani ambazo ni Fiction tuu za watunga hadithi za kifasihi
hizo ni tricks mzee, kuna namna nyingi inaweza kufanyika.Sawa mkuu
sasa anafanyaje mpaka inatokea ndani ya mfuko mwa mtu mwengine?