Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

Hivi Tumaini Makene yupo wapi siku hizi?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Naona hatuhabarishi mambo yanayoendelea ndani ya chama sisi wanachama na wapenzi wa Chadema.

Yupo wapi huyu mtu?
 
Wanasiasa si watu wa kuhamahama

Wanafata upepo ulipo

Ova
 
Nami ningependa sana kujua huyu Mwamba yupo wapi siku hizi kwenye ulimwengu wa siasa. KImya kingi kina mshindo mkuu.
 
Back
Top Bottom