Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

Magugu maji ndyo nn
Ni mimea kama majani inayoota ndani ya maji, Hasa pwani ya ziwa au mto,

Ziwa NYANZA mimea hiyo imekuwa vichaka vikubwa na sometimes imezuia hata meli na mitumbwi kufika bandarini.

Mimea hii Inakua na kusambaa Kwa Kasi kubwa!!
 
Ni mimea kama majani inayoota ndani ya maji, Hasa pwani ya ziwa au mto,

Ziwa NYANZA mimea hiyo imekuwa vichaka vikubwa na sometimes imezuia hata meli na mitumbwi kufika bandarini.

Mimea hii Inakuja na kusambaa Kwa Kasi kubwa!!
Duh,,,Sasa serikal ichukue hatua
 
Asante mama umetosogezea magugu Karibu, mitano tena kwake
 
Duh,,,Sasa serikal ichukue hatua
Serikali unachukua hatua ingawa inaelemewa, ziwa NYANZA ni kubwa sana.

Msaada na Utafiti zaidi unahitajika kuondoa hatari hii ya kufunikwa ziwa lote na magugu maji haya!!
 
Asante mama umetosogezea magugu Karibu, mitano tena kwake
Afadhali mwami ungekuwa unakubali kuota pwani ya ziwa, wenyewe una faida kuliko magugu maji.
 
Hivi hawa kunguru wametoka wapi maana sio kwa wingi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…