Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

Magugu maji ndyo nn
Ni mimea kama majani inayoota ndani ya maji, Hasa pwani ya ziwa au mto,

Ziwa NYANZA mimea hiyo imekuwa vichaka vikubwa na sometimes imezuia hata meli na mitumbwi kufika bandarini.

Mimea hii Inakua na kusambaa Kwa Kasi kubwa!!
 
Ni mimea kama majani inayoota ndani ya maji, Hasa pwani ya ziwa au mto,

Ziwa NYANZA mimea hiyo imekuwa vichaka vikubwa na sometimes imezuia hata meli na mitumbwi kufika bandarini.

Mimea hii Inakuja na kusambaa Kwa Kasi kubwa!!
Duh,,,Sasa serikal ichukue hatua
 
Ni vizuri nikajua kiwango Cha Elimu Yako,

Kuishi karibu na ziwa, Si kujua Kila kitu,

Inawezekana umezaliwa na kuwakuta sangara ziwani, lakini ukiambiwa kuwa zamani hapakuwapo na sangara ziwa NYANZA, walipandikizwa, unaweza kubisha.

Jitahidi kusoma comment za Walio kutangulia Ili uwe kwenye position nzuri ya Kutoa mchango uliosheheni.

Karibu
 
Asante mama umetosogezea magugu Karibu, mitano tena kwake
 
Hivi hawa kunguru wametoka wapi maana sio kwa wingi huu
 
Back
Top Bottom