Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Magugu ndiyo nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KumbeYanazuia Samaki kufikia mapango Yao ya kutagia mayai.
Ni mimea kama majani inayoota ndani ya maji, Hasa pwani ya ziwa au mto,Magugu maji ndyo nn
Duh,,,Sasa serikal ichukue hatuaNi mimea kama majani inayoota ndani ya maji, Hasa pwani ya ziwa au mto,
Ziwa NYANZA mimea hiyo imekuwa vichaka vikubwa na sometimes imezuia hata meli na mitumbwi kufika bandarini.
Mimea hii Inakuja na kusambaa Kwa Kasi kubwa!!
Ni vizuri nikajua kiwango Cha Elimu Yako,
Kuishi karibu na ziwa, Si kujua Kila kitu,
Inawezekana umezaliwa na kuwakuta sangara ziwani, lakini ukiambiwa kuwa zamani hapakuwapo na sangara ziwa NYANZA, walipandikizwa, unaweza kubisha.
Jitahidi kusoma comment za Walio kutangulia Ili uwe kwenye position nzuri ya Kutoa mchango uliosheheni.
Karibu
Serikali unachukua hatua ingawa inaelemewa, ziwa NYANZA ni kubwa sana.Duh,,,Sasa serikal ichukue hatua
Afadhali mwami ungekuwa unakubali kuota pwani ya ziwa, wenyewe una faida kuliko magugu maji.Asante mama umetosogezea magugu Karibu, mitano tena kwake
Kweli mwani unafaida ngoja niongee na mama atoe magugu aweke huoAfadhali mwami ungekuwa unakubali kuota pwani ya ziwa, wenyewe una faida kuliko magugu maji.
Mtamchosha huyo mama enu😀Kweli mwani unafaida ngoja niongee na mama atoe magugu aweke huo
Anajua Mzee Mwinyi hayati!!Hivi hawa kunguru wametoka wapi maana sio kwa wingi huu