GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Magugu maji(hyacinth) kwa kilatini ni mimea inayoota na kustawi majini lakini yakianzia kwenye kingo za mito na maziwa, mahali penye tope lililovunda.Asili ya magugu maji ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magugu maji(hyacinth) kwa kilatini ni mimea inayoota na kustawi majini lakini yakianzia kwenye kingo za mito na maziwa, mahali penye tope lililovunda.Asili ya magugu maji ni nini?
Ziwa Viktoria Lina maelfu ya miaka, mbona hayakuwepo kabla?Magugu maji(hyacinth) kwa kilatini ni mimea inayoota na kustawi majini lakini yakianzia kwenye kingo za mito na maziwa, mahali penye tope lililovunda.
Usisahau kuwa ziwa Viktoria ni kubwa kuliko visiwa vya Zanzibar, Nchi ya Rwanda na Burundi ukiunganisha Kwa pamoja,Kununua boti ya kusafisha magugu ni shilingi ngapi?
Matatizo mengine ni ya kujitakia tu.
Waniajiri mimi nikayatoe hayo magugu.
Hawa tuwashtaki walipe fidia, na waondoe uchafu wao Kwa gharama zao!!Magugu maji yaliletwa na mfalme we Belgium
Na yalipandwa huko Rwanda kama kivutio kwa malkia wake.sasa ndio yakayawanyika kuja ziwani kupitia mto
Kwamba anaupiga mwingi🤔TUNAISHUKURU SERIKALI YA AWAMU YA SITA KWA KUTUJALI KUTUSOGEZEA MAGUGU JIRANI NA ZIWA VICTORIA👏👏
Yaani tunapambana kuinua Uchumi wa watu wetu,Itabidi botanists tuingie mzigoni mkuu!
Biological control process tuitumie yaani tupandikize specie nyingine iote iue magugu maji!au tutafute wanyama wadogo wadogo wanaokula hayo magugu maji!
Kulitokea nini Muhimbili?Mnamkumbuka Mbu waliopandikizwa jangwani ili eti "wawazuie" mbu wengine wasiambukize malaria? Mnamkumbuka kikichotokea muhimbili?
Mnyonge hukimbilia dini na siyo ufalmeNaona unachanganya mambo,
Dini imeingiaje hapo?
Kulitokea nini MuhimbiliMnamkumbuka Mbu waliopandikizwa jangwani ili eti "wawazuie" mbu wengine wasiambukize malaria? Mnamkumbuka kikichotokea muhimbili?
Kuonewa kumbe ni LAANA?Ila ngozi nyeusi tuna laana si bure.
Ufalme wa magugu maji lake Viktoria 😀Mnyonge hukimbilia dini na siyo ufalme
Mbu walizaliana wengi Sana wakajazana muhimbili, jaribu kutafuta info hio. Sijui waliishia wapiKulitokea nini Muhimbili?
Yameongezeka,Hayo magugu maji nadhani sasa yatakuwa yamepungua kwa kiasi kikubwa
Maana miaka ya nyuma habari ITV kuhusu magugu maji kwenye hilo ziwa zilikuwa haziishi
Sikuwahi kufahamu kama yanaweza kuzuia hadi meliYameongezeka,
Media zimechoka kureport. Majuzi, meli ya Sengerema ilishindwa kuondoka baada ya kuvamiwa na magugu maji yaliyoletwa na upepo.
Miaka ya 90 mwishoni yaliibuka kwa wingi sana ikawa habari kubwa ziwa Victoria. yameota tena. Kumbuka kila mmea una mbegu yake inayoweza kusambazwa na ndege upepo, mkondo wa maji n.k.Ziwa Viktoria Lina maelfu ya miaka, mbona hayakuwepo kabla?
Asili ya magugu maji tunaambiwa ni Amerika ya kusaini, yamefikaje Viktoria?
Sangara alipandikizwa ana faida ingawa anawala Samaki wenzie aina tofauti, nani aliyaomba magugu maji !!