Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

Hivi tumeshindwa kumbaini aliyepandikiza magugu ziwa Viktoria ayaondoe Kwa gharama zake?

Magugu maji(hyacinth) kwa kilatini ni mimea inayoota na kustawi majini lakini yakianzia kwenye kingo za mito na maziwa, mahali penye tope lililovunda.
Ziwa Viktoria Lina maelfu ya miaka, mbona hayakuwepo kabla?

Asili ya magugu maji tunaambiwa ni Amerika ya kusaini, yamefikaje Viktoria?

Sangara alipandikizwa ana faida ingawa anawala Samaki wenzie aina tofauti, nani aliyaomba magugu maji !!
 
Kununua boti ya kusafisha magugu ni shilingi ngapi?

Matatizo mengine ni ya kujitakia tu.

Waniajiri mimi nikayatoe hayo magugu.
Usisahau kuwa ziwa Viktoria ni kubwa kuliko visiwa vya Zanzibar, Nchi ya Rwanda na Burundi ukiunganisha Kwa pamoja,

KAZI hiyo huwezi Dokta Uchwara, labda utengeneze dawa Uchwara maabara ya kuyatokomeza.
 
Itabidi botanists tuingie mzigoni mkuu!

Biological control process tuitumie yaani tupandikize specie nyingine iote iue magugu maji!au tutafute wanyama wadogo wadogo wanaokula hayo magugu maji!
Yaani tunapambana kuinua Uchumi wa watu wetu,

Yanatokea maharamia yanapandikiza magugu maji tuhangaike nayo Kwa Kodi hizo hizo ya wananchi wa kipato Cha chini!!
 
Hayo magugu maji nadhani sasa yatakuwa yamepungua kwa kiasi kikubwa
Maana miaka ya nyuma habari ITV kuhusu magugu maji kwenye hilo ziwa zilikuwa haziishi
 
Hayo magugu maji nadhani sasa yatakuwa yamepungua kwa kiasi kikubwa
Maana miaka ya nyuma habari ITV kuhusu magugu maji kwenye hilo ziwa zilikuwa haziishi
Yameongezeka,

Media zimechoka kureport. Majuzi, meli ya Sengerema ilishindwa kuondoka baada ya kuvamiwa na magugu maji yaliyoletwa na upepo.
 
Ziwa Viktoria Lina maelfu ya miaka, mbona hayakuwepo kabla?

Asili ya magugu maji tunaambiwa ni Amerika ya kusaini, yamefikaje Viktoria?

Sangara alipandikizwa ana faida ingawa anawala Samaki wenzie aina tofauti, nani aliyaomba magugu maji !!
Miaka ya 90 mwishoni yaliibuka kwa wingi sana ikawa habari kubwa ziwa Victoria. yameota tena. Kumbuka kila mmea una mbegu yake inayoweza kusambazwa na ndege upepo, mkondo wa maji n.k.
 
Back
Top Bottom