Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

Acha EACOP ikamilike,wakunya hamutaweza kuongea hivyo tena! (Geza)😂😂😂😂
 
Sawa kinachonishangaza kuna nchi Zina 0.8 zimetulia tuli wala hazina tatizooo na mtu, wewe Kenya tupo wote kwenye 0.5...., unabwabwaja kweli kweli ebu Acha nongwa, nawaza hapa wewe ingekuwa ndio hizo nchi zenye 0.8 sijui ingekuwaje! !

Mnatia ukanda huu aibu nyingi sana, mko na kila kitu ilipaswa muwe huko kwa 0.8 sema mpo mivivu wa kutupwa.
 
Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora, yaani choka mbaya wa kutupwa mbali.
Kwenye maisha huwa naamini majirani huwa muhimu sana kwenye ukuaji wako, sasa ukizungukwa na mivivu ujue basi utakwama tu....
Acha niachie hapo maana nikiendelea kuandika naona nitakufuru, lakini majirani zetu ukweli wenu lazima niwaambie....povu ruksa...

======================

CountryHuman Development IndexPopulation 2021
Seychelles0.80198,908
Mauritius0.7961,273,433
Algeria0.75944,616,624
Tunisia0.73911,935,766
Botswana0.7282,397,241
Libya0.7086,958,532
South Africa0.70560,041,994
Gabon0.7022,278,825
Egypt0.7104,258,327
Morocco0.67637,344,795
Namibia0.6452,587,344
Sao Tome And Principe0.609223,368
Republic Of The Congo0.6085,657,013
Ghana0.59631,732,129
Zambia0.59118,920,651
Equatorial Guinea0.5881,449,896
Kenya0.57954,985,698
Angola0.57433,933,610
Zimbabwe0.56315,092,171
Cameroon0.56327,224,265
Comoros0.538888,451
Rwanda0.53613,276,513
Nigeria0.534211,400,708
Uganda0.52847,123,531
Tanzania0.52861,498,437
Mauritania0.5274,775,119
Madagascar0.52128,427,328
Benin0.5212,451,040
Lesotho0.5182,159,079
Ivory Coast0.51627,053,629
Togo0.5138,478,250
Senegal0.51317,196,301
Sudan0.50744,909,353
Malawi0.48519,647,684
Ethiopia0.47117,876,227
Gambia0.4662,486,945
Guinea0.46613,497,244
Liberia0.4655,180,203
Guinea Bissau0.4612,015,494
Sierra Leone0.4388,141,343
Eritrea0.4343,601,467
Burkina Faso0.43421,497,096
Mali0.42720,855,735
Burundi0.42312,255,433
South Sudan0.41311,381,378
Chad0.40116,914,985
Niger0.37725,130,817
Somalia16,359,504
Waambie ukweli..wali dhani ubungo bridge hi maendeleo..wanastahili kutembea kenya wajionee fly overs za Kiaina yake
 
Waambie ukweli..wali dhani ubungo bridge hi maendeleo..wanastahili kutembea kenya wajionee fly overs za Kiaina yake
Yaani uvivu mbaya kweli aisee....bonge Ka nchi lakini dah
 
Back
Top Bottom