Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

Acha EACOP ikamilike,wakunya hamutaweza kuongea hivyo tena! (Geza)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mnatia ukanda huu aibu nyingi sana, mko na kila kitu ilipaswa muwe huko kwa 0.8 sema mpo mivivu wa kutupwa.
 
Waambie ukweli..wali dhani ubungo bridge hi maendeleo..wanastahili kutembea kenya wajionee fly overs za Kiaina yake
 
Waambie ukweli..wali dhani ubungo bridge hi maendeleo..wanastahili kutembea kenya wajionee fly overs za Kiaina yake
Yaani uvivu mbaya kweli aisee....bonge Ka nchi lakini dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…