GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

Ndo yeye huyo.

October 28th kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
huyo hapati, na mpango wa kuiba kura kwa kutumia mawakala huo unakwenda kuthibitiwa....huu ni mwaka wa aibu...
 
NN naomba kukujibu hivi Lissu amepewa ulinzi wa serikali.kama mgombea na hili lilikuwa ni moja ya msisitizo ambao serikali ilipewa toka kwa big bosses kwako Lissu atapitishwa kugombea nafasi ya uras.

Kama unakumbuka alivyakuja tu toka alikuwa na ulinzi wake mmoja hivi alikuwa anavaaga tochi kwenye paji la uso.

Alipotangazwa tu kuwa mgombea serikali ya JMT ilimpatia ulinzi wa maafisa wa serikal
Kuthibitisha hili you can ask Matola na Mentor mdogo wangu wa faida
Lkn pia bado wapo Walinzi wa chama wanamlinda.
Angalia mara nyingi sana afisa kipenyo huwa nyuma yake mara zote na hawa wa chama huwa karibu na huyu afisa kipenyo
 
Wagombea wote wa uraisi walipewa ulinzi na serikali siku waliporudisha fomu na kuthibitishwa rasmi na NEC kuwa wagombea.

Hivyo imeangaliwa orodha ndefu ambayo inatosha kukidhi mahitaji hayo.

Hata raisi JPM anae mlinzi yule aliekuwa nae kwenye kampeni ya 2015 ili kuongeza "Capacity".

Pia polisi nao ni jukumu lao kuhakikisha amani inakuwepo wakati wa kampeni.

Hivyo IGP Sirro nae aliandaa polisi wake.
 
Oh ok. Sikujua hilo.

Basi huenda huyo jamaa ni wa kutoka serikalini...

Kama wale PSU?
Mwamba una vituko sana, nimejikuta nacheka sana "..ka kalamu alivyokapachika kwenye mfuko wa shati..".

Ikiwa sheria na taratibu za uchaguzi nimeweka hilo bayana itakua jambo jema.
Ila makamnda wanaweza kukataa hata hiyo huduma ambayo ni haki yao kikatiba, vinginevyo iwe hiari.

Lakini polisi safari hii wamejitahidi sana, wanakupwepo kwenye mikurano takriban yote ya kampeni.
 
huyo hapati, na mpango wa kuiba kura kwa kutumia mawakala huo unakwenda kuthibitiwa....huu ni mwaka wa aibu...
Wewe jidanganye tuu...Wazalendo kura zote tutampa JPM.

October 28th kura zote ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Wewe jidanganye tuu...Wazalendo kura zote tutampa JPM.

October 28th kura zote ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
hapiti bwana, hata kura hamna uwezo wa kubia.... endeleeni kujidanganya hapo Lumumba kwa vikao visivyoisha...
 
Walinzi kazi yao kukuelekeza kuwa wee mgombea jiwe hilo linakuja chuchumaa chini ukikataa wanakuacha litue kichwani kwako watakukimbiza hospitali au mortuary lolote likitokea kati ya hayo
Hata wale wanaosimama nyuma ya jiwe nao hua wanachuchumaa.......?
 
Nilichogundua wengi wetu ni weupe sana humu kuhusu siasa zetu za bongo. Najiuliza ni kwanini watu hawaisomi katiba ya nchi na kuielewa?

Tundu Lissu ana mlinzi mmojsa wa serikali ambaye ni askari polisi ambaye ndiyo huyo jamaa wa Kaunda suti na kila mgombea Urais vyama vyote hupewa mlinzi mmoja nibtakwa la kisheria . Hao wengine ni private guards na ni haki yake kisheria hata kama watatoka nje ya nchi. Hao private guards hulipwa na chama na malipo yao yapo kwenye hesabu ya gharama za uchaguzi.
 
Ni takwa la kisheria serikali kumpa ulinzi mgombea urais

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.

Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.

Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
 
Hawez kupewa kma kwenye makaratas ya kupigia kura hawajakumbuka kwamba yanatakiwa yapangwe majina ya vyama Alphabetically watakumbuka kumpa lissu walinzi?
 

JPM kwa kupata hekima ya Mungu na kutuongoza kwenye maombi kwa Mungu ni jambo litupasalo kuendelea kumshukuru Mwenyezi Mungu kila itwayo leo.

Wazungu walitaka kupitia corona kutufanyia kale kamchezo ka biashara ya computer. Wanakuuzia khalafu wanatengeza virus na kuuguza komputer kwa kuiambukiza kirusi. Wanatengeneza antikirusi wanakuuzia na biashara ya ukuti ukuti kwa wajinga inaendelezwa.

Corona nayo wamefanikiwa kuuza vifaa tiba, madawa, itakuja biashara ya chanjo, na wameshatengeneza ajira kupitia viwanda tiba, hawa ni wahuni na wauaji hawa!

Malikia Lizabeti wa UK katoka hadharani bila barakoa maana itakuwa kamwelewa JPM, wanavyo mshambulia sasa kwa vile anataka kuharibu biashara.

Utafiti umeonesha USA 85% wanaotumia barakoa wameambukizwa corona. Corona ni mkakati hatari. Tumshukuru Mungu Watanzania wenzangu kwa kutuonesha njia sahihi ya kupita katika kuikabili corona.
 
Msimu wa kilimo unaanza lini?
 
Nadhani ni utaratibu kwa wagombea Uraisi wote pamoja na wagombea wenza kupewa ulinzi rasmi toka vyombo vya ulinzi na usalama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…