Uchaguzi 2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

Jiulize mbona watu wanatekwa ,mbona watu wanapotea.
Je sponsor number moja ni nani,hivi hakuna njia nyingine hadi watu wapotee wapigwe risasi ?
Nmeongea kwa mifano uelewe.
OK, halaf akifikiri anasaidiwa au siyo. Nimekusoma jombaa!
 
Anatosha kwako
Na kwako pia Mkuu kwa MAENDELEO ya kweli, wewe, yeye, yule na Mimi tukamchague JPM.

October 28th ni USHINDI wa kishindo kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
KAMA NI YEYE KWELI. SASA WAKATI WA MABOMU NA MAWE ANAKUWA WAPI? MAANA NAONA LISSU AKISIMAMA MBELE NA KUJITETEA PAMOJA NA KUWAHOJI POLISI PEKE YAKE, NANI ANAMLINDA MWENZAKE HAPO?
Kwa sasa hivi hamna mtu atamrushia Lissu jiwe abaki salama, siyo lisu tuu hata rungwe...unda chama chako upate hiyo privilege kwa miezi 2
 
Wanaweza kuwa ni walinzi toka serikalini sioni tatizo kwa hilo.
 
Kwanini huyo Mungu hakuzizuia hizo risasi 16 kuliko kumwacha atandikwe nazo?
Ili ukuu wake uonekane. Ili watu kama wewe mjue kuwa Yeye ndio mwenye uwezo wa kuokoa. Zaburi 68:20 "Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana"

Mungu hakuangaika kumzuia Daniel asitupwe kwenye tundu la simba ila alihakikisha simba hawamgusi hata vazi lake. Mungu hakuhangaika kuzuia kina Meshaki wasitupwe kwenye tanuru la moto ila alihakikisha hawaungui na wala moshi hauwapati. Mungu ajaanza jana wala leo kutenda haya na huu ni uthibitisho tosha kuwa Lissu anaongozwa na Roho wa Mungu aliye hai.

Jambo la kukumbukwa Mungu hajawahi kufanya kazi kwa hasara. Alipomuokoa Musa na mkono wa farao alimpa kazi ya kuwatoa Israeli utumwani, alipo muokoa Daudi mbele ya Goliath alimfanya kuwa mfalme wa Israeli, baada ya kumuokoa Daniel na Simba alimpa kuwa waziri mkuu, alifanya hivyo kwa Yusuph pia.
 
Wakuu.

Mlinzi wa Lisu amepewa na Serikali au CHADEMA wamempatia, au yeye mwenyewe?

The guy yupo very serious sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…