Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

Embu jibu swali hilo mara moja na kwa ufupi.lissu anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato cha kila siku zaidi ya uzururaji?
Nikulize wewe MCHEPUKO wake MKE MDOGO, ambaye unasema anazurula maana unajua undani wake! Tupe jibu πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸš΄πŸš΄πŸš΄
 
K
Kwani Watanzania wengine wanafanya kazi Gani?
Wewe unafanya kazi Gani?
 
Anatatua mambo yahusuyo sheria.
Muone kama una tatizo la kisheria akunyooshee mambo.
 
Mnamtaka kibaraka wenu ashinde, msahozoea mnamuongoza mnavotaka, Sasa utawala wake unaisha arudi kuwa djz
 
Ana danga Kwa Amsterdam 😁😁
 
Ondoo porojo Taja kazi yake πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…