Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

K
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa piK
Kwani Watanzania wengine wanafanya kazi Gani?
Wewe unafanya kazi Gani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anatatua mambo yahusuyo sheria.
Muone kama una tatizo la kisheria akunyooshee mambo.
 
Mnamtaka kibaraka wenu ashinde, msahozoea mnamuongoza mnavotaka, Sasa utawala wake unaisha arudi kuwa djz
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki Mimatusi wala mikelele wala mimaneno mingi wala blaa blaa wala porojo wala Mihemuko wala ukurupukaji katika andiko hili ambalo lipo wazi kabisa .

Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini?

Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi sana hata kununuliwa na mabeberu kwa mambo yaliyo kinyume na sheria za Nchi yetu.

Soma Pia: Itakuwa ni uwendawazimu mkubwa kwa CHADEMA kumpa Lissu uenyekiti na kumuacha mwamba Mbowe

Swali lipo wazi na wala haihitaji maelezo marefu wala matusi.Kwa hiyo ningependa Wafuasi wa lissu mjibu swali hilo.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ana danga Kwa Amsterdam 😁😁
 
Ipo hivi Tundu Lissu ana akili kubwa kuliko mbowe na sio lazima uwe sijui na hotel,sijui kulima ndio upate pesa...tundu Lissu anauwezo wa kutumia akili yake ya kisomi kupate pesa kwenye taasisi mbali Duniani ya kuendeshea hiyo Saccos ya mbowe.Me msomi naelewa..msomi ukishampa platform kama hiyo we achana naye..utanaona kila kitu kinaenda sawa.
Ondoo porojo Taja kazi yake 😂😂
 
Back
Top Bottom