U nahitaji pesa? Nikupe ya mahitaj yako madogo madogo...you seems to be a good girl in here.Hi guys,
Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA,
Unazungumza na mtu kabisa vizuri na unamuamini vizuri mno, kila kitu kinakuwa sawa kabisa mwanzoni lakini ikija kuhusika pesa tu, unashangaa kuona vile ghafla anakuwa ni mtu mwingine kabisa usiyemfahamu, kuanzia simu hazipokelewi, text hazijibiwi, yaani mtu anaanza kuku-avoid kwa nguvu, unaweza shangaa hata unakuwa blocked kabisa..!!
tunakosea wapi mpaka jamii yetu imepotoka kiasi hiki..!? Kwanini pesa imefikia hatua ya kututoa uaminifu kwa kiwango kikuu namna hii, kwanini watu wa karibu kabisa itugombanishe na kutufarakanikisha kufikia hatua ya kuwa maadui, mbona we were just cool kabla 'paisa' ihusike..??! Sahii ni kawaida kabisa kutukuta ni watu wa karibu mno, ila tunaogopana kama nini linapokuja suala la shilingi..!!
doh'...! Mungu atunusuru tu, am afraid tunakoelekea ndiko kubaya zaidi...!!
Mchungaji lusekelo alisema. Usikopeshe mtu pesa mpk roho wako mtakatifu akushuhudie kama unataka kuendelea na urafiki achana na hiyo kitu. Km utampa mtu pesa hakikisha ni ndogo sana kiasi kwamba hata asiporudisha ujihisi amani tu na kuona kama ulimsaidia. Pesa inafanya tunapoteza marafiki zetu wengi sana. Binafsi nina mifano mingi sana na nimekomaHi guys,
Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA,
Unazungumza na mtu kabisa vizuri na unamuamini vizuri mno, kila kitu kinakuwa sawa kabisa mwanzoni lakini ikija kuhusika pesa tu, unashangaa kuona vile ghafla anakuwa ni mtu mwingine kabisa usiyemfahamu, kuanzia simu hazipokelewi, text hazijibiwi, yaani mtu anaanza kuku-avoid kwa nguvu, unaweza shangaa hata unakuwa blocked kabisa..!!
tunakosea wapi mpaka jamii yetu imepotoka kiasi hiki..!? Kwanini pesa imefikia hatua ya kututoa uaminifu kwa kiwango kikuu namna hii, kwanini watu wa karibu kabisa itugombanishe na kutufarakanikisha kufikia hatua ya kuwa maadui, mbona we were just cool kabla 'paisa' ihusike..??! Sahii ni kawaida kabisa kutukuta ni watu wa karibu mno, ila tunaogopana kama nini linapokuja suala la shilingi..!!
doh'...! Mungu atunusuru tu, am afraid tunakoelekea ndiko kubaya zaidi...!!
Ndugu acha Tuu Hata Mapenzi yameharibiwa na Pesa... Leo Ndoa nyingi Ni Migogoro kisa Pesa... Mungu atunusuru kwa kweliHi guys,
Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA,
Unazungumza na mtu kabisa vizuri na unamuamini vizuri mno, kila kitu kinakuwa sawa kabisa mwanzoni lakini ikija kuhusika pesa tu, unashangaa kuona vile ghafla anakuwa ni mtu mwingine kabisa usiyemfahamu, kuanzia simu hazipokelewi, text hazijibiwi, yaani mtu anaanza kuku-avoid kwa nguvu, unaweza shangaa hata unakuwa blocked kabisa..!!
tunakosea wapi mpaka jamii yetu imepotoka kiasi hiki..!? Kwanini pesa imefikia hatua ya kututoa uaminifu kwa kiwango kikuu namna hii, kwanini watu wa karibu kabisa itugombanishe na kutufarakanikisha kufikia hatua ya kuwa maadui, mbona we were just cool kabla 'paisa' ihusike..??! Sahii ni kawaida kabisa kutukuta ni watu wa karibu mno, ila tunaogopana kama nini linapokuja suala la shilingi..!!
doh'...! Mungu atunusuru tu, am afraid tunakoelekea ndiko kubaya zaidi...!!
Amekuchukia maana umempotezea muda.Mimi kuna rafiki yangu ameniomba nimkopeshe pesa lkn kwa kutambua atasumbua kunilipa niliamua ni muahid ntampa. Ilipofika siku nikakataa kumpa aisee huwezi amini amenichukia adi sasa ivi. Imekua km ni ma adui ss. Wakati alikua rafiki yangu wa karib kbs.
Au nlikosea ndugu zangu?
π π π π Hii ni kaliWengine ukiwapigia kwa lengo la kuwasalimia hawapokei anahisi unamkumbushia deni,.yaani wakati mwingine tunapoteza hata kuwasiliana kwa bashasha kisa tuu pesa mlikopeshana,.