Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,615
We acha tuu,.watu tumepoteza molari za bashasha kisa pesa/kudaiana..😅😅😅😅 Hii ni kali

Kuna jamaa nilimkopesha pesa ila kwenye kulipa akawa analeta danadana, nilimuandikia meseji nzito mpaka akaona aibu ingawa kwenye kunilipa alinilipa nusunusu
Kiukweli jamaa sina maelewano mazuri nayeye mpaka hivi leo ingawa salam tunapeana
Nimeona hii post roho ikaniuma sana jamani mie nimedhulumiwa pesa ndefu mno na rafiki jamani,ameishia kuniblock kabsa,sasa sijui watu kama hawa tunadeal nao vipi!
Ww kama mm tena ni mlokole mwenye cheo chake kanisani alikua mtumishi sikuamini nmelamba block kila konaNimeona hii post roho ikaniuma sana jamani mie nimedhulumiwa pesa ndefu mno na rafiki jamani,ameishia kuniblock kabsa,sasa sijui watu kama hawa tunadeal nao vipi!
Hi guys,
Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA,
Unazungumza na mtu kabisa vizuri na unamuamini vizuri mno, kila kitu kinakuwa sawa kabisa mwanzoni lakini ikija kuhusika pesa tu, unashangaa kuona vile ghafla anakuwa ni mtu mwingine kabisa usiyemfahamu, kuanzia simu hazipokelewi, text hazijibiwi, yaani mtu anaanza kuku-avoid kwa nguvu, unaweza shangaa hata unakuwa blocked kabisa..!!
tunakosea wapi mpaka jamii yetu imepotoka kiasi hiki..!? Kwanini pesa imefikia hatua ya kututoa uaminifu kwa kiwango kikuu namna hii, kwanini watu wa karibu kabisa itugombanishe na kutufarakanikisha kufikia hatua ya kuwa maadui, mbona we were just cool kabla 'paisa' ihusike..??! Sahii ni kawaida kabisa kutukuta ni watu wa karibu mno, ila tunaogopana kama nini linapokuja suala la shilingi..!!
doh'...! Mungu atunusuru tu, am afraid tunakoelekea ndiko kubaya zaidi...!!
Utapeli na udhulumaji hauna dini wala kabila aisee,huyu ni wakumwendea tu kwa mchungaji wake labda litaona aibu likiitwa na wazee wa kanisa lake ikishindikana unamshtakia tu Mungu.Ww kama mm tena ni mlokole mwenye cheo chake kanisani alikua mtumishi sikuamini nmelamba block kila kona
Watu kwao Uaminifu ni jambo gumu sana.Hi guys,
Kiukweli hili suala limenifika shingoni, kadri muda unavyozidi kwenda naona khali inazidi kuwa mbaya, na hii tabia inazidi kuota mizizi mno, yaani sahii ukitaka uwe na uadui na mtu wako yeyote yule wa karibu wala hata usitumie nguvu kubwa, wewe ihusishe tu PESA,
Unazungumza na mtu kabisa vizuri na unamuamini vizuri mno, kila kitu kinakuwa sawa kabisa mwanzoni lakini ikija kuhusika pesa tu, unashangaa kuona vile ghafla anakuwa ni mtu mwingine kabisa usiyemfahamu, kuanzia simu hazipokelewi, text hazijibiwi, yaani mtu anaanza kuku-avoid kwa nguvu, unaweza shangaa hata unakuwa blocked kabisa..!!
tunakosea wapi mpaka jamii yetu imepotoka kiasi hiki..!? Kwanini pesa imefikia hatua ya kututoa uaminifu kwa kiwango kikuu namna hii, kwanini watu wa karibu kabisa itugombanishe na kutufarakanikisha kufikia hatua ya kuwa maadui, mbona we were just cool kabla 'paisa' ihusike..??! Sahii ni kawaida kabisa kutukuta ni watu wa karibu mno, ila tunaogopana kama nini linapokuja suala la shilingi..!!
doh'...! Mungu atunusuru tu, am afraid tunakoelekea ndiko kubaya zaidi...!!
Pesa ni shetani aliye tengenezwa na binadamu..Hi guys,

Ulikosea sana ndugu yangu na haukufanya vizuri hii kitu imenitokea kwa watu wangu wa karibu wamenifanyia hivi tu hapa majuzi na mm nimetokea sana kuwachukia cha msingi kama ni kusaidia Saidia au kama huwezi bora umwambie mtu mapema kuliko kumwahidi inakuwa siyo vizuri kumbuka malipo ni hapahapa leo wewe unacho yeye hana kesho huna yeye anacho!Mimi kuna rafiki yangu ameniomba nimkopeshe pesa lkn kwa kutambua atasumbua kunilipa niliamua ni muahid ntampa. Ilipofika siku nikakataa kumpa aisee huwezi amini amenichukia adi sasa ivi. Imekua km ni ma adui ss. Wakati alikua rafiki yangu wa karib kbs.
Au nlikosea ndugu zangu?
Shukrani sana kwa somo zuri braity..!!Mchungaji lusekelo alisema. Usikopeshe mtu pesa mpk roho wako mtakatifu akushuhudie kama unataka kuendelea na urafiki achana na hiyo kitu. Km utampa mtu pesa hakikisha ni ndogo sana kiasi kwamba hata asiporudisha ujihisi amani tu na kuona kama ulimsaidia. Pesa inafanya tunapoteza marafiki zetu wengi sana. Binafsi nina mifano mingi sana na nimekoma