Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
- Thread starter
- #41
Shukrani Ushindi victory nitajifunza hilo..!!Na badoo hiv uku nishapotezana na best of the best bcoz of money...nachoshaur usiendekeze pesa kwenye urafik wala undugu, mtu akihitaj pesa ama umkopeshe, kullko kufikia stage za kuzimiana simu ni bora umnyime au umpe kama unataka n bora hiwe ivyo, au kama ni wew kwann umkope rafik?? kama kuna ulazma ni bora ukaweka hata kitu bond ili kupunguza maumiv yake siku utakpozbgua.......money is source of all evil