mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Waislam ni dini inayopigania haki za binaadam. Amerika hawataki hivyo
Huamini?"Kumekucha" in King Majuto's voice.
Adam kazaliwa mashariki ya KatiUislam ni uarabu na Uarabu ni Uislam huwezi kuvitenganisha ukimsema muarabu unaonekana mbaguzi wa kiimani
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Uislam ni janga la Dunia kama majanga mengine mfano tetemeko, ukimwi , COVID 20 etcVita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.
Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?
Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?
Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?
Tujadilini hoja tu.
Hakuna uadui...... US na Saudia ni marafiki kuliko Iraq na SaudiaVita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.
Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?
Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?
Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?
Tujadilini hoja tu.
Uislam ni janga la Dunia kama majanga mengine mfano tetemeko, ukimwi , COVID 20. Ndio unakuwa kwa kasi. Mama yako kesho kutwa anasilimu. Utamuua?
Hawa jamaa ni wajanja sana kwa kuhamisha magoli..... hapa Tz tumewambia. Mkataba Wa DPW sio mzuri hauna manufaa kwa Taifa na tukawapa na vielelezo muhimu.Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.
Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?
Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?
Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?
Tujadilini hoja tu.
Uislam ni uarabu na Uarabu ni Uislam huwezi kuvitenganisha ukimsema muarabu unaonekana mbaguzi wa kiimani
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
90% ya waislamu Tz,wanaamini USA inachukia uislamu kisa uislamu unakataza ushoga..Migogoro yote ya wamerekani na wamagharibi in general ni migogoro ya kibepari either unakitu wanachotaka au wewe ni kikwazo kupata wakitakacho period ,angalia Venezuela,Chile Honduras ile latin America wamevuruga sana wahuni ukija na mgogoro wao wakudumu Russia so ilo suala la kuchukia dini flan au race flan ni upofu tu watu wamejipa hawqoni chochote beyond dini zao
ZinWaislam ni dini inayopigania haki za binaadam. Amerika hawataki hivyo
Waislam wanataka masjid Aqswa iwe chini yao ni sio mayahudiHaki zipi zinapiganiwa na uislamu wa mashariki ya Kati ambazo Indonesia na Malasyia ambao ni waisilamu pia hawazipiganii?
Zin
Kwahiyo comments za wadau humu jf zmejaa mihemuko tu?Hakuna uadui...... US na Saudia ni marafiki kuliko Iraq na Saudia
Ebu elezea uhusiano wa masjd aqswa na migogoro mfano ya Libya,Sudani,Iraq?Waislam wanataka masjid Aqswa iwe chini yao ni sio mayahudi
Iraq ni nchi za magharibi sawa na Libya. Masjid Aqswa ni msikiti wetu wa 3 waislamEbu elezea uhusiano wa masjd aqswa na migogoro mfano ya Libya,Sudani,Iraq?
Je shida ni hiyo tu au Kuna kingine nyuma?