Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Tatizo ni kwa hao Magaidi wenye Islamic ideology ya kuchukia Wayahudi na Wakristo, na hata kutaka kudai sehemu na maeneo ya Wayahudi.
Otherwise US ina uhusiano mzuri na nchi za Kiarabu ingawa ni kwa maslahi yake.
Isitoshe US ni democratic nation ina watu wenye dini mbalimbali, makabila mbalimbali ya dunia, waarabu, waafrika, wazungu, wahindi, Wayahudi, nk
Bila US kuwapo Mashariki ya Kati huenda Israeli ingekuwa imeshafutwa katika uso wa dunia.
 
USA Hana uadui na uislam Bali makundi ya magaidi wahuni waliojifichia kwenye dini ya uislam baada ya kuwabrainwash waislamu wasio na elimu ya dini kwamba wanapigania dini kumbe wanapigania maslai ya dunia kupitia dini.
 
Issue sio Uislm but ni Uaarabu na resources zilizo katika hizo Nchi Indonesia & Malaysia hazina resources zozote za maana kama zilivyo Nchi za kiarabu.
Turkey kinacho msaidia ni geographical position yake dhidi ya adui wa USA & West countries ambaye ni Russia.Turkey inatumika kimkakati kuua nguvu za Russia kimkakati.
Shida sio dini Wala race yao bali ni rasilimali walizonazo? Ni kwanini Sasa kila mtu huwa anataka kuhusisha dini na huu mgogoro?
 
USA Hana uadui na uislam Bali makundi ya magaidi wahuni waliojifichia kwenye dini ya uislam baada ya kuwabrainwash waislamu wasio na elimu ya dini kwamba wanapigania dini kumbe wanapigania maslai ya dunia kupitia dini.
Hana uadui na uislam. Hujui wewe?
 
Hiyo ni principle ya kiuongozi ukitaka kuendelea kutawala vizuri,basi hakikisha watu wanavurugana.Uongozi wwte hata level ya Serikali ya kijiji haupatikani kwa kupewa but you have to fight for it na baada ya kupata lazima ukunufaishe,same applies to USA kama Taifa-huwezi kuwaacha waarabu wenye resources muhimu waaungane it is dangerous
 
Hawa jamaa ni wajanja sana kwa kuhamisha magoli..... hapa Tz tumewambia. Mkataba Wa DPW sio mzuri hauna manufaa kwa Taifa na tukawapa na vielelezo muhimu.

Hatukukataa Mkataba bali tukaomba Marekebisho.

Walichokuja kusema kiliushangaza ulimwengu.

Eti hatutaki Uislam na awaarabu.

Sasa unajiuliza kwani DPW walitaka kuja kuwekeza kwenye Misikiti au kwenye Bandari.

Hapa ndio tukashtuka kwamba Dpw hawawekezi kwenye bandari kama IGA ilivyotaka kutudanganya
Huwezi tenganisha uarabu na uislamu
 
Hiyo ni principle ya kiuongozi ukitaka kuendelea kutawala vizuri,basi hakikisha watu wanavurugana.Uongozi wwte hata level ya Serikali ya kijiji haupatikani kwa kupewa but you have to fight for it na baada ya kupata lazima ukunufaishe,same applies to USA kama Taifa-huwezi kuwaacha waarabu wenye resources muhimu waaungane it is dangerous
Zile falme zao ndio zinawakoroga waarabu ili ziendelee kuneemeka na utajiri wa Middle East.

Wao wamewatupia Dini wakanasa huku Viongozi wanakula Utajiri na USA.

Ktk kupoteza maboya wanahubiri USA haitaki Uislam kumbe wachawi ni watawala wao.
 
USA Hana uadui na uislam Bali makundi ya magaidi wahuni waliojifichia kwenye dini ya uislam baada ya kuwabrainwash waislamu wasio na elimu ya dini kwamba wanapigania dini kumbe wanapigania maslai ya dunia kupitia dini.
Si KWELI HAYA MANENO ...
USA adui yake MKUBWA uislam coz unapingana na machafu Yao wanatoyaeneza,,Kila kukicha wako bize kupanga vitimbi dhidi ya uislam

Tishio kubwa duniani inayozuia ajenda zao ni Uislam,,

Na vitimbi haviakuanza Leo soma SURAT Nuhu utapata ufahamu mkubwa
 
Back
Top Bottom