ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ugomvi wa Marekani na baadhi ya nchi za mashariki ya kati ni wakimasilahi zaidi wala hauna uhusiano wowote na dini.
Kinacho iponza mashariki ya kati ni mafuta na gesi yake basi.
Marekani linapo kuja kwenye suala la maslahi huwa haangalii usoni kwa sababu yapo mataifa kibao ambayo hayana uhusiano na Uislam yamesha vurugwa na Marekani na kusababisha mauaji makubwa sana.
Siku zote unapo kuwa na sera zinazo hatarisha maslahi yake basi ww ni adui yake haijalishi ni dini gani.
Hata hii Israel mnayo ona inadekezwa kama mtoto siku akijitia kuleta kiburi na kufanya mambo yanayo hatarisha maslahi ya Marekani inaweza geukwa na msiamini.