Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Ni ufinyu tu wa akili.90% ya waislamu Tz,wanaamini USA inachukia uislamu kisa uislamu unakataza ushoga..
Ndio maana nkauliza Kuna ukweli hapo?
Mimi nauchukia sana ushoga ila nikiona mtu anauelezea kuwa ndo sababu ya chuki ya US kwa waarabu naona kama ana mtindio fulani hivi.
Hata humu jf hao viazi wamo wengi!
Sent using Jamii Forums mobile app