Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Kwani kuna nchi ya kiislam inasupoort ushoga? Nchi zote zinazounga ushoga ni za kikiristo. Shoga ktk sheria za kiislam ni kuuliwa ktk sheria za kikiristo kama America kupewa useneta. Sasa nani anapalilia ushoga. Nitumia akili japo usikurupe utaumbuka mshikaji
Kule Mombasa, Tanga, visiwani na Pwani mmeshaua wangapi?
 
Uislam ni janga la Dunia kama majanga mengine mfano tetemeko, ukimwi , COVID 20 etc
uislam unapinga vitu ambavyo vimekazwa na muumba wa mbingu na ardhi kama uzinifu kamari ulevi ushoga na mengineyo ambayo muumba amevikataza ila nyie wakiristo imefikia mahali munabariki mpaka ushoga siwashangai maana kwenu kiingiacho ni halali kitokacho ni haramu
 
Uislamu ni dini safi.

Ila waarabu wanaharibu dini ya uislam ndo mana USA hataki uislam wa uarabuni ila turkey na nchi zingine hauna shida kwao
Hata msiwaangushie mzigo waarabu pekee.

Tatizo si waarabu, tatizo ni uislam.

Mwaka 2016 pale Mwanza (kata ya mkolani, mtaa wa utemini) waislam walichinjana kama kuku, na hakukuwa na mwarabu pale.

Msikiti mkubwa wa mkolani walishakorogana hadi wakatengana na kuanzishwa msikiti mwingine, hakuna waarabu.

Leo hii nimesikia Mwanza hapo kuna mgogoro mwingine wa waislam, hakuna waarabu.

Chato ndanindani huko kuna mgogoro fulani wa kugombea msikiti kati ya bakwata na sijui aswat, hapo kuna vita ya kimyakimya kati ya shehe wa bakwata na shehe wa sunni. Kuna watu wameshaanza kuzungumzia kutoana makoromeo ili kupata thawabu! Hakuna mwarabu, wote weusi kama mkaa!

Na migogoro mingine mingi sana isiyo na idadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA hata wewe kama hukubaliani nao basi ni adui wao.

Washasema wazi "You're either with us or you are against us".


Kwani Mugabe alikuwa Muislam?

Kwani Putin Muislam?

KKwani kiduku Muislam?

Kwani Jinping Muislam?

Waislam hawakubali kumsujudia ndiyo maana hapatani nao wote.
Shida ni waislam au waraabu? Maana naona migogoro ni kwa waarabu zaidi na sio kwa jamii zingine za kiislamu Kama Malaysia na uzebekstan?
 
Sup
Kifupi uislam unakinzana na ubepari kimaslahi mfano Riba na mengineyo.
Pili Uislam ulishakuwa super power kitambo hicho so ni sleeping giant ambalo linaweza kuamka na kutake over.
Super power kivipi?
Ni maslahi gani uislamu unainyima usA usingizi?
Je usA anauadui na Waarabu au hata waislamu wa kwa mtogole Biden hawataki?
 
Sup

Super power kivipi?
Ni maslahi gani uislamu unainyima usA usingizi?
Je usA anauadui na Waarabu au hata waislamu wa kwa mtogole Biden hawataki?
Sijui kama unaijua Ottoman empire.
Takwimu zinaonyesha kiwango Cha idadi ya watu huko ULaya na marekani kinapungua sababu zinajulikana na ongozeko la watu ni kubwa ktk nchi na kiislamu na Africa.
Pia Kuna prediction ya kuwa na idadi kubwa ya watu hapo baadae itakuwa ni watu weusi na wanjano.
Miaka ijayo viza za marekani na ULaya zitakuwa free
 
Shida ni waislam au waraabu? Maana naona migogoro ni kwa waarabu zaidi na sio kwa jamii zingine za kiislamu Kama Malaysia na uzebekstan?

Kwani Mugabe alikuwa Muislam?

Kwani Putin Muislam?

KKwani Kim kiduku Muislam?

Kwani Jinping Muislam?

Waislam hawakubali kumsujudia ndiyo maana hapatani nao wote.
 
USA anapakiziwa migogoro mingi sana, hata kati ya mume na mke.
 
Sijui kama unaijua Ottoman empire.
Takwimu zinaonyesha kiwango Cha idadi ya watu huko ULaya na marekani kinapungua sababu zinajulikana na ongozeko la watu ni kubwa ktk nchi na kiislamu na Africa.
Pia Kuna prediction ya kuwa na idadi kubwa ya watu hapo baadae itakuwa ni watu weusi na wanjano.
Miaka ijayo viza za marekani na ULaya zitakuwa free
Population kukua Hilo ni soko na alitakiwa alitreaty vizuri ...
Kuwa na population kubwa haina maana unauchumi mkubwa. Sioni waarabu wakiwa super power Kama hawana technology kubwa
 
Kwani Mugabe alikuwa Muislam?

Kwani Putin Muislam?

KKwani Kim kiduku Muislam?

Kwani Jinping Muislam?

Waislam hawakubali kumsujudia ndiyo maana hapatani nao wote.
Tukubaliane kuwa hakuna anaeonewa kwa rangi yake Wala kwa dini yake Ila ni maslahi yao binafsi yasio tuhusu huku
 
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
Tatizo ni ubeberu wa US na magharibi hapo mashariki ya Kati.

Hayo ya dini yanasemwa tu ila hakuna uthibitisho wa hilo.
 
Tatizo ni ubeberu wa US na magharibi hapo madhariki ya Kati.

Hayo ya dini yanasemwa tu ila hakuna uthibitisho wa hilo.
Kwa mujibu wa Jk nyerere ni kuwa "Ukosefu wa elimu huleta uoga,na uoga huleta unafiki na unafiki huleta kujipendekeza na kujipendekeza huleta kutawaliwa na kutawaliwa huleta ubeberu" so middle East ni waoga kwa USA?
 
Kwa mujibu wa Jk nyerere ni kuwa "Ukosefu wa elimu huleta uoga,na uoga huleta unafiki na unafiki huleta kujipendekeza na kujipendekeza huleta kutawaliwa na kutawaliwa huleta ubeberu" so middle East ni waoga kwa USA?
Watawala wa nchi za Ghuba wamejisalimisha kwa USA ili wapatiwe ulinzi, waendelee kutawala wapendavyo.

Ndio maana wamebakia kimya kuhusu maswahibu ya Wapalestina.
 
Adam kazaliwa mashariki ya Kati
Yesu kazaliwa Palestina uarabuni
Mtume wetu kazaliwa Makka
Hakuna mtume aliezaliwa Vatican. Kama unae mlete hapa. Hujui kitu unashabikia kama unashabikia ngoma
Wakati Yesu anazaliwa Palestina haikuwa Uarabuni na haikuitwa Palestina bali Philistia...

means haikuwa na Waarabu, waarabu waliletwa na Dola au Utawala uliokuwa na nguvu sana kwa Ulaya nzima yaani utawala wawa Ottoman (Ottoman Empire)
 
Principles za UISLAMU zipo against calture za wazungu pakubwa sana...

Ukiangalia life style za Jews zinafanana pa kubwa na american or western culture...

Ni kama enzi za ukomunisti, ...Western walipinga kila kitu cha Eastern block...

Lakini hili la Islamic culture ni zaidi, na wanaona ni tishio kwao kutokana na misingi yake tofauti na communist ...

Yako mambo uislamu upo completely and openly against western culture...(.Imejipambanua kwa UWAZI mno.)

Na ninaposema Western culture ni tofauti na Christian culture, ....ila isipokuwa miaka ya karibuni Western culture inaimeza Christian culture kiasi kamba kizazi cha sasa kinaamini Christian culture ndio WESTERN culture...

Kwa hiyo Islamic culture imeingia ktk mgongano wa tamaduni (CLASH) na kundi kubwa ktk hii dunia ( CLASH of Civilization) na hii itachukuwa muda mrefu...
 
Adam kazaliwa mashariki ya Kati
Yesu kazaliwa Palestina uarabuni
Mtume wetu kazaliwa Makka
Hakuna mtume aliezaliwa Vatican. Kama unae mlete hapa. Hujui kitu unashabikia kama unashabikia ngoma
Sasa wakizaliwa pale ndo nini!Au ndo Yale mambo yenu ya kusilimisha waliokufa?Wakati manabii hao uliowataja uislam haikwepo.Manabii walikuwa wanaotunza amri za MUNGU.Na amri za MUNGU hazibadiliki.Ukisikia mtu anakuambia kila nabii alipewa amri zake jua ni nabii wa uongo.Manabii wote walikuja kuwasisitiza watu watunze amri zile zile alizopewa Musa.Sasa Ili tuamini maneno ya nabii wenu kuwa Musa,Yesu,walikuwa na uislamu ule ule aliokuja nao nabii wenu basi inabidi mzitunze amri zile zile zilizotunzwa na kina Musa Yesu,n.k.
NOTE
Siungi mkono mauaji yanayoendelea Palestine.Wanachofanya waisraeli ni kinyume na MUNGU.Kila taifa lina ardhi yake.Waizraeli wa Wakati wa manabii walikuwa na mipaka yao,na wafilisti(philistines) walikuwa na mipaka yao.Haiji vita hadi wafilisti wanapowavamia waisraeli na kutaka kuwapora ardhi yao.Wangeendelea hivyo hadi leo kusingekuwa na shida.Sasa unamfukuza mfilisti(philistine) aondoke kwenye ardhi yao aende wapi?Siku hizi kila ardhi ina mwenyewe.Waende wapi!Ni upumbavu.Leo aje mkenya atufukuze Tanzania,twende wapi!
 
Back
Top Bottom