Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Hivi uadui wa uisilamu na USA upo kweli? Ulitokana na nini?

Sasa wakizaliwa pale ndo nini!Au ndo Yale mambo yenu ya kusilimisha waliokufa?Wakati manabii hao uliowataja uislam haikwepo.Manabii walikuwa wanaotunza amri za MUNGU.Na amri za MUNGU hazibadiliki.Ukisikia mtu anakuambia kila nabii alipewa amri zake jua ni nabii wa uongo.Manabii wote walikuja kuwasisitiza watu watunze amri zile zile alizopewa Musa.Sasa Ili tuamini maneno ya nabii wenu kuwa Musa,Yesu,walikuwa na uislamu ule ule aliokuja nao nabii wenu basi inabidi mzitunze amri zile zile zilizotunzwa na kina Musa Yesu,n.k.
NOTE
Siungi mkono mauaji yanayoendelea Palestine.Wanachofanya waisraeli ni kinyume na MUNGU.Kila taifa lina ardhi yake.Waizraeli wa Wakati wa manabii walikuwa na mipaka yao,na wafilisti(philistines) walikuwa na mipaka yao.Haiji vita hadi wafilisti wanapowavamia waisraeli na kutaka kuwapora ardhi yao.Wangeendelea hivyo hadi leo kusingekuwa na shida.Sasa unamfukuza mfilisti(philistine) aondoke kwenye ardhi yao aende wapi?Siku hizi kila ardhi ina mwenyewe.Waende wapi!Ni upumbavu.Leo aje mkenya atufukuze Tanzania,twende wapi!
Hujui kitu. Muulize Yesu ambae kwetu tuna mwita Issa anaijua Vatican?
 
Hujui kitu. Muulize Yesu ambae kwetu tuna mwita Issa anaijua Vatican?
Vatican ndiyo nini sasa mbona sikuelewi!Kwa nini avatcan na isiwe Washington,Paris,London,Dodoma,Moscow,n.k?Kwan Vatican Ina nini kwako!
 
Vatican ndiyo nini sasa mbona sikuelewi!Kwa nini avatcan na isiwe Washington,Paris,London,Dodoma,Moscow,n.k?Kwan Vatican Ina nini kwako!
Hujui Vatican makao makuu ya Cristian duniani? Wewe kweli kiazi
 
Vatican sio makao makuu ya ukristo duniani,Vatican ni makao makuu ya kanisa la kirumi.Uelewe.
Nakwambia hujui kitu. Vatican ndio anapokaa papa ambae ni mkuu wa wakiristo wote duniani
 
Nakwambia hujui kitu. Vatican ndio anapokaa papa ambae ni mkuu wa wakiristo wote duniani
Na mimi nakufumbua akili.Vatcan ni makao makuu ya kanisa la kirumi na dini zote za kishenzi(kipagani) zinazoenda kinyume na MUNGU.Usichokijua hadi viongozi wako wakubwa duniani wanaitii Vatican,na wana-obey hapo Vatican.Kasoro watunza amri za MUNGU (torati).Kwa taarifa yako hata huo uislam ulianzishwa na Vatican.Bi Khadija alilelewa na Rumi,naye akaja kumlea nabii wenu hadi kuolewa naye.
 
Principles za UISLAMU zipo against calture za wazungu pakubwa sana...

Ukiangalia life style za Jews zinafanana pa kubwa na american or western culture...

Ni kama enzi za ukomunisti, ...Western walipinga kila kitu cha Eastern block...

Lakini hili la Islamic culture ni zaidi, na wanaona ni tishio kwao kutokana na misingi yake tofauti na communist ...

Yako mambo uislamu upo completely and openly against western culture...(.Imejipambanua kwa UWAZI mno.)

Na ninaposema Western culture ni tofauti na Christian culture, ....ila isipokuwa miaka ya karibuni Western culture inaimeza Christian culture kiasi kamba kizazi cha sasa kinaamini Christian culture ndio WESTERN culture...

Kwa hiyo Islamic culture imeingia ktk mgongano wa tamaduni (CLASH) na kundi kubwa ktk hii dunia ( CLASH of Civilization) na hii itachukuwa muda mrefu...
Hapo ni principal za kiislamu au Arabic cultural zinapingana na Europe?
Vipi kuhusu nchi Kama UAE na Qatar zenye uhusiano mzuri na USA??
Hii issue haijakaa kibiashara zaidi?
 
Vita zinazotokea Mashariki ya Kati huwa inaelezwa chanzo ni USA, sababu ni chuki dhidi ya Uisilamu.

Kwanini uisilamu? Kwanini isiwe Waarabu bali ihesabike ni Uislamu? Mbona kuna nchi za kiislamu hazina migogoro mfano; Indonesia, Malasyia na hata Turkey?

Kwanini USA ichukie Uislamu na sio dini zingine kama budha na Hindu?

Kwanini migogoro ya Kiarabu inapewa Sura za Dini?

Tujadilini hoja tu.
waislam ni watu wa kulalamika popote walipo wanaonewa.uislam kazi yake ni kuuzungumzia ukristo wakati ukristo hauna habari nae.Bila ukristo uislam haupo.
 
Back
Top Bottom